Kuliitishwa kikao cha dharula cha Baraza la mawaziri, kuongelea kitu kimoja pekee, ajali ya ndege ya Precision Air, iliyotokea zaidi ya wiki moja iliyopita!
Hata hivyo kilichonishangaza zaidi ni taarifa ya msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, baada ya kumalizika kwa kikao hicho, ambapo...