premio

  1. Ibanda1

    Msaada tatizo la taa ya check engine kwenye premio 1NZ

    Habari wakuu Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada...
  2. Bangila

    Natafuta Toyota Premio

    Wana JF Nahitaji Toyota Premio Model mpya Engine size CC 1450 Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya Namba DZ au Namba E. Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya...
  3. Mnyenz

    Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  4. Mnyenz

    INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  5. Ibanda1

    Msaada: Toyota Premio kuishiwa nguvu inapopanda mlima

    Habari wanajamvi, Gari yangu Toyota premio (1.5L) imekuwa na changamoto kadhaa amabazo nashindwa kizipatia majawabu. (i) Gari kukosa nguvu inapopanda mlima, hili tatizo lilianza miezi mitatu iliyopita siku moja nilinusurika ajali wakati nina overtake kwenye mlima nilishangaa gari hainipi ile...
  6. B

    Car4Sale Premio X For Sale

    It is already sold out. No more comments
  7. N

    Nahitaji Toyota Premio

    Habari wadau wa agari, nina milion 9 cash nahitaji toyota premio used ianze namba DF kuendelea mbele iwe haijwah kupata ajali kabisaa iwe haijawah kurudiwa rangi kabisaa hata bampa yaan! Lakini iwe haijawah kuguswa engine zaidi ya kubadilisha oil tu: Mi nipo kigoma naomba isiwe ya silver wala...
  8. K

    Ipi gari bora kati ya Carina Ti au Premio old model?

    Wapendwa nahitaji kununua gari kati ya Carina Ti na Premio old model ipi ni bora?
  9. Msolid1990

    Msaada: Fuel gauge na Consumption ya Toyota Premio

    Wakuu kwema? Siku ya Jumamosi nilisafiri na gari yangu Toyota Premio F(1490cc) kutoka Arusha kuja Dar es Salaam. Ilikuwa ndo mara ya kwanza kusafiri safari ndefu kwa kutumia hii gari kwa hiyo nilitaka kujua pia consumption yake ya mafuta highway iko vipi. Siku ya Ijumaa niliweka full tank na...
  10. D

    Car4Sale Premio for sale

    PREMIO KALI☑️ ni kuwasha na kuondoka☑️ Haina changamoto yeyote✍️ Cc 1490 Bei ni 15 m For serious only 👇 📞0656052164
  11. Kinyozi_tz

    Nahitaji Toyota Premio 2010

    Kama kichwa kinavyo eleza hapo yeyote anae uza gari ya aina hiyo aje pm.
  12. salehe magari mazuri

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  13. salehe magari

    Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  14. King Jody

    Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo wanaomiliki magari haya, naombeni ushauri tafadhali, yote nayapenda. NB: Ni kwa ajili ya kutembelea...
  15. Msolid1990

    Msaada: Rim/Tyre size na Tyre Pressure kwa Toyota Premio

    Wakuu, Nina Toyota Premio f niliagiza kutoka Japan mwaka jana mwishoni. Gari imekuja na rim size 14 na nikipita barabara ya vumbi kuna wakati inagonga sana chini, kwenye mlango wa dereva kwa pembeni kuna hizi options zimeandikwa kama inavyoonekana kwenye picha niliyoambatanisha hapa(Pamoja na...
  16. Wangwambo

    Premio old model

    Anayeuza premio old model tutafutane,
  17. emback

    corona Premio 7afe

    habari zenu ndugu nnahitaji gear box ya manual na vikorokoro vyake vyote. gari ni corona premio 7afe ya 1998. mawasiliano...0710882764
  18. A

    OBD kwa old car like Premio 2004 or IST

    Ningependa kujua hii device hapa TZ naweza pata wapi? Asante.
  19. Congressman

    Asikwambie mtu, Premio tamu

    Habari wakuu! Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M. Wengi walinishauri kuanza na IST au Vitz, ila nilipofika showroom mawazo yalibadilika na kuamua kuvunja kibubu kwa 16.5M kwa kuvuta Toyota Premio (2005), yenye...
  20. Congressman

    Bajeti ya 10M nitapata Premio au Runx nzuri?

    Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu. Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx? Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
Back
Top Bottom