Shinikizo la kawaida la damu kwa watu wazima ni 120 kwa 80. Kipimo cha presha hupimwa kwa milimita za zebaki (mercury) (mmHg). Hivyo husomeka kama 120/80 mmHg. Shinikizo la damu hupimwa kwa milimita za zebaki (mmHg) kwa sababu kifaa kinachotumiwa kuipima, kinachoitwa 'mercury sphygmomanometer'...