printer

In computing, a printer is a peripheral device which makes a persistent representation of graphics or text, usually on paper. While most output is human-readable, bar code printers are an example of an expanded use for printers. The different types of printers include, 3D printer, Inkjet printer, laser printer, thermal printer etc.

View More On Wikipedia.org
  1. Nielekezeni jinsi ya kuunganisha computer na printer

    Wakuu msaada pls. Kuna computer hapa inatumika kama Server, hiyo server ndio imeunganishwa na printer. Sasa nilitaka niunganishe computer zingine zipo kama 7 through wifi ili ziweze kuprint. Yaani mtu akitaka kuprint sio mpaka aende pale kwenye computer iliyounganishwa na printer. Muongozo...
  2. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Habari wapendwa, vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu. 1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20000) 2. Lamination...
  3. M

    INAUZWA Nauza printer aina ya HP 1515

    Nauza printer ya HP 1515 BEI TSH 40,000 IPO VIZURI Adapter yake haipo 0658 106 630
  4. Best printer kwa gharama ya 300,000/=

    Wakuu, Nahitaji printer kwa budget hio hapo juu. Printer iwe na sifa zifuatazo: -Mpya -Uwezo wa kuprint, photocopy na kuscan -Wino wake usiwe bei sana -Maintenance yake iwe cheap Wataalamu naombeni Mnisaidie katika hili, sina uzoefu wowote na mambo ya printer. Natanguliza shukrani
  5. L

    Mwenye hp printer drivers naomba, au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer

    Mwenye hp printer drivers naomba ,au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer
  6. INAUZWA 3D printer inauzwa

    Model: Creality Ender 3v2 Materials Supported ABS, PLA, PETG, TPU Number of Print Colors 1 Number of Extruders 1 Frame Design Open Printer tajwa hapo juu ipo sokoni, imetumika kidogo sana, sababu ya kuuza nataka kununua kubwa zaidi. Mwenye uhitaji nayo nicheki inbox, mali ipo...
  7. INAUZWA Heat press machine na epson printer laki nane tu!

    Hii ni offer kubwa kwa sababu nina uhitaji wa haraka wa pesa. Heat press machine iko full na vifaa vyake vya kuprint caps,mugs,plates (5in1) vipya. Na Epson L3110 imetumika kidogo sana ni kama mpya. Vyote jumla ni Tshs. 800,000/= tu! Tuwasiliane 0693153565
  8. Colour printer gani inafaa kwa matumizi ya stationery?

    Wadau habari. Ninaomba kujua ,kwa wenye uzoefu wakutumia PRINTERS AMBAZO NI 3 IN 1, budget yake kuanzia Tsh 500000/= mpaka 1,000,000/= INK JET (ZENYE KUTUMIA WINO) ni brand gani nzuri kwa matumizi ya stationery.
  9. INAUZWA Epson L3110 for sale

    Big Offer! Printer Mpyaa! •Epson L3110 kwaajili ya biashara na ofisini •Ina uwezo wa Kuprint📍 Kutoa copy 📍 Kuscan 📍 Picha na karatasi ukubwa wa A4 √ •Unapata CD/User guide√ •Cable √ •Chupa zenye wino full (mpya)√ + Free delivery √. Call Now! 0754 683 963 Tsh. 500,000/= tu!
  10. R

    Canon printer wino laki 7

    Habar wadau Hapa nahisi tunapigwa hapa ofisi kuna printer mbili zote canon iage runner 1325 IR mimi napenda sana most of my material yawe in gard copy shida ni wino sasa unauzwa bei mbaya ivo ni lazima printer itumike kuprints only office documents Sasa naombeni ushauri wapi naweza pata wino...
  11. INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  12. INAUZWA Printer MFP Canon IR 2425 Mpya at discount price

    Habari wadau, Nauza printer ambayo ni photocopier pia, Model Canon IR 2425, Ina print, copy na Scan. Ina uwezo wa kuunganishwa kwa Network, Bei ni 2 million kamili. Ipo Dar es salaam. Dukani mpya ina range 2.4m Sababu ya kuuza ni order ilikuwa tofauti na ilivyohitajika. Hivyo ni ipo...
  13. INAUZWA Nauza Printer Epson L805 na Photocopy machine Ricoh MP 2000 L2

    Nauza Printer Epson L805 imetumika mwaka mmoja tu. Inaprint sticker na picture vizuri na haibaguwi karatasi. Pia inaprint CD. Printer hii haina tatizo lolote kabisa. Inapatikana Mwanza Nyamagana Barabara ya Balewa karibu na Nyanza Shule ya Msingi. Bei ni 350,000 Tsh. Picture zake ziko chini...
  14. Naomba Kujua Wino wa Epson L3110 Printer kwa chupa zote nne ni Bei gani?

    Naomba Kujua Wino wa Epson L3110 Printer kwa chupa zote nne ni Bei gani?
  15. Epson L810 printer for sale

    Nauza printer mpya Epson L810, inaprint picha, CD, ,business card za pvc n.k. Bei ni shilingi laki saba na nusu (750, 000). Bei ya shop ni mpaka mil.1. Nicheki 0713767579
  16. N

    Ninunue Printer gani nzuri kusafishia picha?

    Wakuu kuna mtu kaniomba nimnunulie printer potable ya kusafishia picha kwahiyo naomba ushauri ninunue ya aina gani? Bajeti yangu ni laki nane za kitanzania
  17. Natafuta Printer main board hp laserjet pro mfp m125a

    Niwasalimu ndugu zangu nyote katika mtandao wetu pendwa JF. Bila kupoteza muda ndugu zangu natafuta mother board ya printer hp laserjet pro mfp m125a. Kwa anayejua wauzaji wa hapa Tanzania au kama unayo tafadhali naomba ushirikiano wa kuweza kuipata. Natanguliza shukran. Picha ya mother board husika
  18. Epson printer specs na Bei zake

    Jamani nauliza hivi zile Epson printer ambazo dukani huwa zinauzwa laki nne mtumba wake naweza pata kwa tsha ngapi na je ubora,sifa na efficiency inakuaje.
  19. INAUZWA Nauza Printer HP kwa bei nafuu

    -
  20. M

    Computer4Sale Computer, Laptop na Printer ndogo sokoni

    Printer ni HP Laptop ni samsung Computer ni ONDA Bidhaa zote zilikuwa zinatumika ofisini Bei laki 7 fixed for all Location Dar es salaam Communication 0625825641
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…