pro

  1. Phone4Sale Jipatie iPhone 15 Pro max high copy tsh 300000 tu

    Karibuni wateja jipatie iphone 15 pro max high copy kwa tsh 300000 tu Nipo Kariakoo Uhuru Plaza ghorofa ya kwanza mkoani nakutumia watu wadar njoo dukani Simu zimebaki mbili tu
  2. Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  3. Nauza Macbook Pro za mwaka 2018 bei ya jumla

    Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla Specs: Macbook Pro display Retina Iris display 13.3' RAM: 16GB Storage: ssd 500GB Processor intel core i 5 3.1.Ghz Touch pad bar. Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536 bought from USA asking price ~Tsh...
  4. Naomba Ushauri: Nataka kununua Google pixel 8 pro

    Habari Wakuu, Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana, Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
  5. Phone4Sale iPhone 13 Pro

    Iphone 13 pro . Used Uk. In very good condition Gb 128 Bh 84. TT✅ 1.5ml only. Comes with a box. Ukinunua mbili Utapata moja kwa 1.450ml only. 0752850081 0783869998 Nipo DSM Ubungo.
  6. INAUZWA iPhone 13 PRO inauzwa 128 GB

    SOLD OUT SOLD OUT SOLD OUT
  7. Msaada: SSD 1080 PRO NGFF M.2 4TB Haifanyi Kazi Kwenye Laptop Yangu

    Habari wanajamvi, Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida. SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
  8. Bar Code Sticker na Product Label kwa Ajili ya Bidhaa zako

    Habari za Wakati huu. Je Wewe ni Mjasiriamali Mdogo ambaye Unazalisha na Kufungasha Bidhaa za Aina Mbalimbali? Masoko International Company kwa kushirikiana na Wadau wetu mbalimbali tunakuletea huduma ya Kuchapisha Bar Code Sticker na Label kwa ajili ya Bidhaa zako. Huduma hii itakuwezesha...
  9. M

    nimpepambana na Pro Isrel kihoja mpaka kaona aibu

    Jama alikuwa anadanganya sana abiria katika gari. akipaza sauti ya kuonyesha Isreal ina nguvu na kuwadanganya abiria ambao uelewa wao mdogo katika swala hili. Nilipombana kwa hoja agaeuza maneno. alajifanya hapendi vita vile. akijifanya kuongea kiengereza kama msomi vile kumbe 0. aliotuona...
  10. Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  11. S

    Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma. Ndipo waziri wa uchukuzi prof. Makame Mbarawa akasema "naomba wananchi waelewe hii treni siyo ya high speed kama zile za China na...
  12. Phone4Sale Inauzwa iphone 14 PRO MAX copy,na AQUOS 701 SH USED

    IPO IPHONE 14 PRO MAX COPY KWA 170,000 TU,RISITI YAKE IPO NA INA CRACK KWA NYUMA VINGINE VIPO FRESH SANA,INATUMIA ANDROID ,STORAGE 512GB IPO USED AQUAS 701SH KWA 50,000 TU,RISITI YAKE IPO HAINA TATIZO LOLOTE ,ANDROID 10,STORAGE 32 GB,RAM 3GB SERIOUS BUYERS CONTACT ME: 0768115667
  13. Machifu na wakuu wa makabila nchini ni machawa pro max. Hata historia inawasuta baadhi

    Kwa mfano anatoka Makamu Mwenyekiti wa (Chanzo Cha Matatizo) CCM kwenea Ntwara, akifika huko anasimikwa uchifu, akija mwenyekiti wa hicho kijiwe naye anasimikwa uchifu. Mara utasikia wazee na machifu wa Songwe wamemsimika uchifu mkuu wa mafisadi huku wakimpa sifa kem kem. Numejiuliza, taratibu...
  14. B

    2024 iPad Air Pro vs Xioami tablets

    Naomba mwenye kujua ubora wa hizo tablets anisaidie maarifa. Zote ni TABLET PC with keyboards. Nataka nichukue moja kati ya hizo ila sina uzoefu nazo. Msaada tafadhali.
  15. DOKEZO Waziri wa Elimu: Prof. Mkenda, kituo cha Walimu (TRC) Mawenzi Moshi Manispaa wanakusanya michango kutoka kila shule bila kibali chako

    TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA: Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina kesho, tarehe 25.01.2024. Kila shule au kituo kinatakiwa kuchangia bila kukosa ni TSh. 100...
  16. Takwimu za Nabi kwenye ligi ya Botola Pro akiwa na AS FAR Rabat

    Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco. Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi. Amecheza mechi 15 Ana Alama 33 Magoli ya kufunga 33 Magoli ya kufungwa 13 Yupo juu ya Msimamo (Kileleni) Nabi anaupiga...
  17. Redmi Note 12 Pro+ 5g Inauzwa!

    Salaam wadau. Kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza. Nauza simu tajwa hapo juu yenye sifa zifuatazo:- Simu bado ni mpya, imetumika kwa wiki 2 tu. Storage 8 ni 8/256 gb. Ina kila kitu chake tatizo Box tu ambalo kwa bahati mbaya lilitupwa. Bei ya kuanzia ni Tsh 600,000/= Yeyote aliye serious...
  18. Beginner | Noob & Pro: Fl Studio Music Production

    ..
  19. INAUZWA For Sale: Smart Keyboard Cases for iPad Pro 11/ 10.9

    Habari! Nauza smart keyboard cases complete na external wireless mouse yake kwa ajili ya iPad Pro 11/10.9 inch. Products ni mpya kabisa Bei 140,000 TZS tu! Tupigie 0712075845
  20. 11 pro na s10 zinahitajika haraka

    Mwenye hizo bidhaa tuwasiliane haraka. 11pro iwe 256gb. S10 iwe black. Biashara ni leo na kesho tu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…