Kiwango cha ulaji wa mayai nchini kwa mtu mmoja kwa mwaka kimeshuka kutoka mayai 300 hadi mayai 106.
Kauli hiyo imetolewa jana Oktoba 17, 2021 na Waziri wa kilimo, Profesa Adolf Mkenda wakati akifunga maadhimisho ya kilele cha siku ya chakula duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro...
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesababisha kuahirishwa mara mbili mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro(KNCU) kwa sababu zake binafsi mkutano uliopangwa kufanyika jana ukasogezwa mpaka leo lakini mkutano huo umefutwa tena leo na kusogezwa mpaka Jumatatu...
Waziri wa kilimo prof Adolf Mkenda amekuwa mbogo baada ya kuzungushwa na mrajisi wa ushirika mkoa wa Mtwara na kuamua asimamishwe kazi mara moja na amemtaka katibu mkuu apeleke mrajisi mwingine mkoa wa Mtwara.
Pia waziri wa Mkenda amempa onyo kali mrajisi wa ushirika mkoa wa Kilimanjaro (KCU)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.