Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo;
1) Amemteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Bw. Tutuba anachukua nafasi ya Prof. Florens Luoga ambaye amemaliza...
Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
"Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo zinapelekea kamati ya PAC kuzijadili na kuwasilisha taarifa zake bungeni. Katika taarifa zake CAG si...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga ambaye pia ni kiongozi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Huduma Jumuishi za Kifedha (AFI), ametunukiwa tuzo “Central Banker of the Year” ya 2021”, inayotolewa na The Banker Magazine, kampuni tanzu ya Gazeti la Financial Times, kutokana na...
Gavana wa benki kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga amesema wanachojua mpaka sasa ni kuwa sarafu za kidijitali sio salama. Aidha amesema kwamba hawawezi kusema ni lini watatoa maelekezo kwani bado wanafanya utafiti.
Watatoa kanuni na miongozo wakishamaliza endapo watakamilisha utafiti wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.