prof janabi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nataka nifungue mgahawa ambao nitakuwa nikionyesha video za Prof Janabi muda wote kama burudani

    Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mlo mmoja kwa siku ndiyo mpango wa Maisha. Prof. Janabi yuko sahihi

    Nilishtuka baada ya Kila mtu kuniambia nimenenepa sana, ikabidi niende kupima uzito, sukari, pressure n.k Kwasababu nilikua nikitembea kidogo nachoka, na mapigo ya moyo yanadunda kwelikweli. Kufika hospital daktari akanipima uzito nikawa na 94kg, sukari ikasoma 5.5 mmol/l kabla sijala, pressure...
Back
Top Bottom