Nilishtuka baada ya Kila mtu kuniambia nimenenepa sana, ikabidi niende kupima uzito, sukari, pressure n.k Kwasababu nilikua nikitembea kidogo nachoka, na mapigo ya moyo yanadunda kwelikweli.
Kufika hospital daktari akanipima uzito nikawa na 94kg, sukari ikasoma 5.5 mmol/l kabla sijala, pressure...