prof. kabudi

Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi is the Tanzania's current Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by Hon H.E. Dr John Pombe Magufuli the President of the United Republic of Tanzania. He previous served as the Minister inthe Ministry of Justice and Constitutional Affairs from 2015 to 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Je, Museveni haamini kama Corona imeisha Tanzania? Kabudi amejikuta kapata aibu!

    Leo wakati viongozi wakiondoka viwanja vya Dodoma alianza kuondoka Rais Magufuli akafuatiwa na Rais Museveni! Wakati Museveni akisubiri gari nilimuona Kabudi akisogea eneo ambalo kulikuwa na viongozi wa Tanzania ambao walikuwa wanawaaga wageni na tayari walikuwa wameshaagana na Museveni kwa...
  2. Naton Jr

    Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

    The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit as to mining the extraordinary experience in leading his country in prosperity and Panasonic growth...
  3. B

    Prof. Kabudi aihakikishia Uingereza na jumuiya ya kimataifa uchaguzi huru, haki

    4 September 2020 Video source : millard ayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoja na Jumuiya ya Kimataifa kuwa uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka 2020 utafanyika kwa...
  4. S

    Ujumbe kwa Prof. Kabudi; Mipaka imefunguliwa kati ya Kenya na Tanzania kwa usafiri wa ndege; sisi wa usafiri wa shuttle barabarani ndio wenye Corona?

    Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
  5. G Sam

    Tatizo kubwa la Prof. Kabudi ni uongo na ulaghai na hana sifa ya kujiongeza ambayo ni sifa mama ya waziri wa diplomasia akiwa na Rais aina ya Magufuli

    Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana. Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa...
  6. D

    Uchaguzi 2020 Prof. Kabudi bila mbeleko Kilosa ubunge mgumu kwake. Warabu wa Kilosa wanamzidi kutamka majina ya vijiji vya Kilosa

    Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa hivyo kwa waziri Kabudi Prof Kabudi alijikita kutaja majina ya vijiji vya Kilosa tena kwà kukosea...
  7. figganigga

    Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

    Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi. Ndege maalum ya ujumbe...
  8. K

    Prof. Kabudi katufundisha jambo juu ya utanzania na umuhimu wa kuilinda Tanzania ili tuendelee kuitwa watanzania. Ni mzalendo wa kweli

    Kila mara Prof. Kabudi anapoongea uwa nakuwa makini kutega sikio kuchota busara na hekima, hakika kwangu ni moja ya watu ambao sichoki kuwasikiliza. Kwa wengine inawezekana anaongea vitu vikubwa kuliko uelewa wao na wanashindwa kumuelewa lakini tunaomuelewa Prof. Kabudi hatuna mashaka na uchungu...
  9. G Sam

    Prof. Kabudi nachelea kukuamini kama kweli mlishinda kesi Afrika ya Kusini, tusipende kuona uongo kuwa sehemu kubwa ya siasa za Tanzania

    Kwanza naomba niombe radhi kwa balozi wa Canada nchini Tanzania kama kweli ulimuita na kumzungumzia yale uliyozungumza leo. Pili siamini kama hujui kuwa kuna tofauti kubwa kati ya Marekani na Canada kwani Canada yupo jumuiya ya madola wakati Marekani haipo. Sasa basi, tuje kwenye hoja ya...
  10. Uguswelana chane

    Mambo mengi anayoongea Prof. Kabudi ni Utopian

    Anaongea as if Wazungu wanaona uchungu na sisi Waafrika kuumia wakati kuumia kwao ndiyo furaha yao. Halafu anafikili Wazungu wanapelekeshwa. Sana sana watatuwekea na sisi vikwazo kwa kuisaport Zimbabwe halafu tuone hao Wachina watatusaidia Nini. Wachina hata waone Waafrica wanachinjana wao...
  11. Influenza

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda kampuni ya ubia inayoitwa Twiga Minerals Corporation. Katika kampuni hiyo Serikali ina hisa asilimia 16 na Barrick asilimia 84. ====== Baada ya mgogoro uliodumu...
Back
Top Bottom