Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe.
"Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende.
Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? [emoji849]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.