Mwandishi: Nikikurudisha nyuma Profesa, 2018. Tupo kwenye uhuru. Unahisi maneno yako uliyotoa kwamba, "Bunge ni dhaifu," tungeweza kurudisha labda muda 2018, ungeyafuta yale maneno au ungesimama na msimamo wako wa Bunge ni dhaifu kipindi kile?
Professor Mussa Assad: Unajua, labda tukubaliane...
Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo.
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad, amehusisha kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma na aina nyingine za ufisadi...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba CHADEMA imefungua Mafunzo kwa lengo la kuwapiga Msasa viongozi wake
Miongoni mwa Wakufunzi yumo CAG Mstaafu Alhaj Mussa Assad, Wakufunzi wengine ni Tundu Lissu na Dr Philbhert Kumu ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Jana nilienda kujiandikiasha ili kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Nikakuta kumbe unataja majina yako matatu, unaweka sahihi, msimamizi nae anaweka sahihi halafu ndio imetoka hivyo.
Yaani Nikajiuliza na kucheka tu, ni Watu wangapi wataingizwa ambao ni fake? Waandaaji wameshindwaje hata...
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema...
assad kura kidigitali
assad sitapiga kura
kuchagua viongozi
kupiga kura kidigitali
kura kidigitali
mussaassad
prof assadprofesamussaassad
wizi wa kura
wizi wa uchaguzi