Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi, amesema ukatiri dhidi ya wazee yakiwamo mauaji kwa baadhi ya mikoa,ni moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wazee hapa nchini.
Kutokana na Hali hiyo, Profesa Ndakidemi ameishauri serikali kwa kushirikiana na viongozi wa dini pamoja...