profesa

  1. Uda

    Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

    Katika uislamu mkopo si jambo la heri. Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai?? Tutafakari
  2. The Assassin

    Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi. Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash...
  3. S

    Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

    Hii ni tweet inayoombatana na video huko twitter: Prof. Assad anasema "..You can't buy airline by cash, hakuna yeyote anayenunua ndege kwa cash...wapi umeona?..hakuna mtu ananunua ndege kwa cash. Watu wajinga sana ndio wanaweza kufanya jambo hili..."
  4. ndege JOHN

    Profesa Assad: Wanaounga mkono kila kitu ni wasaka fursa

    Dar es Salaam, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi. Profesa Assad amesema hayo leo Jumamosi Aprili 10, 2021 katika uzinduzi wa mfululizo wa...
  5. Chagu wa Malunde

    Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

    Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati? Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila...
  6. mngony

    Nini kilifanya CAG aliyepita, Profesa Assad kuondolewa katika nafasi ile?

    Kama tunakumbuka vizuri, ripoti ya kwanza ya CAG Assad baada ya kuingia kwa awamu ya 5 pamoja na ubadhirifu mwingine ilionesha ufisadi wa kiasi cha pesa 1.5 Trilioni ambacho hakikuoneka wapi kilienda. Baada ya ripoti hiyo, CAG alishambuliwa sana na serikali na Chama wakiwemo mawaziri, Spika...
Back
Top Bottom