profesa

The Church of San Felipe Neri, commonly known as "La Profesa" (English: the Professed house), is a Roman Catholic parish church that was established by the Society of Jesus late in the 16th century as the church of a community of professed Jesuits. The church is considered to be an important transitional work between the more sober or moderate Baroque style of the 17th century and the extremely decorated manifestations of the Baroque of the 18th century in Mexico.Located at the corner of Madero and Isabel la Católica Streets in Mexico City, diagonally opposite the Museo del Estanquillo, its original name was "La Iglesia de la Casa Profesa." This church is well known for being the site of a number of historical events, including the "La Profesa Conspiracy," which was instrumental in bringing Agustín de Iturbide to power and the "Polkos Rebellion".
More recently, this church was the scene for deliberations relating to the beatification of Juan Diego. The church is also noted for its very large collection of colonial-era artworks spanning three centuries by some of Mexico's best artists including Cristóbal de Villalpando, Juan Correa, Pellegrí Clavé and José de Alcíbar.

View More On Wikipedia.org
  1. Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

    Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma. Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba atakuwa mgeni rasmi. Hayo yameelezwa kwenye ukurasa rasmi wa Askofu Gamanywa...
  2. Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

    "Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu. Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara. Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi...
  3. Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

    Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari...
  4. Swali: Hivi ni kwanini Tanzania hakuna Profesa au Daktari (Phd holder) ambaye ni mkulima?

    Ni kwanini nji yetu haina hao watu? Wawe na mashamba ya kupigiwa mfano? Je nji yetu haina watu wenye viwango hivyo waliosomea kilimo na wanaishi maisha yao yote kwa kulima?
  5. Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  6. Askofu Profesa Victor Chisanga kaambiwa na Mwenyezi Mungu asitii mamlaka kwenye swala na bandari bali ampinge Rais

    https://youtu.be/CsfIiDj5LQY Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
  7. Profesa Kitila Mkumbo: Wapinzani wanarukia hatua juu ya suala la mkataba wa Bandari

    Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo: Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali...
  8. K

    Ushauri: Timu binafsi iende UAE kurekebisha mkataba wawepo Profesa Tibaijuka, Dkt. Rugemeleza Nshala na wengineo

    Mimi naomba kwa wale wote wanaopenda nchi yetu tusibaki kulalamika na serikali yetu ambayo haifanyi lolote kurekebisha mkataba badala yake naomba tufanye hivi Team ya wasomi wanao taka mabadiliko wasafiri kwenda Dubai kama wadau wa maendeleo na waombe kukutana na viongozi wa huko . Waende na...
  9. S

    Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

    Profesa Tibaijuka alipeleka sakata la bandari kidunia
  10. M

    Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi 👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi) 👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi) Profesa Assad ametoa...
  11. S

    Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  12. TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  13. Inawezekana hoja ya Profesa Assad ilikuwa na mashiko

    Mwezi April 2021, tarehe 10, CAG Mstaafu, Profesa Assad, aliitoa kauli ambayo ilizua gumzo kwa watu wengi. Wapo walioiunga mkono, huku wengine wakiipinga vikali. Nafikiri wafuatiliaji wa Habari wangali wakikumbuka. Profesa alisema kuwa asilimia sitini ya viongozi wa Serikali hawana uwezo mzuri...
  14. M

    Profesa Shivji anasema mkataba wa Dubai/DP World uko kinyume na katiba; Je kusigina katiba sio kosa la uhaini?

    Leo wakati akiongea katika mdahalo uliofanyika UDSM, mhadhiri mwandamizi wa sheria profesa Issa Shivji ameeleza kuwa mkataba wa uendeshaji bandari kati ya Tanzania na Dubai una dosari kutokana na vifungu vilivyotajwa hapo juu kukinzana na matakwa ya kikatiba ya Tanzania. Na akaeleza kesi inaweza...
  15. Profesa Tibaijuka, Apson Mwang'onda na Mradi wa Kuuza Kigamboni kwa Marekani

    Hayati Apson Mwang'onda akisalimiana na Mwamba Kuna wakati Profesa Tibaijuka, Waziri wa Ardhi wakati huo, alikuwa anaratibu mradi kabambe wa Kigamboni. Wamarekani ndio walitaka kuujenga kwa mfumo wanaoutaka wao ili wautumie kwa namna wanavyotaka wao. Ndani ya kivideo cha awali kwa ajili ya...
  16. S

    Subira Mgalu achukuliwe hatua kwa kumshambulia Profesa Tibaijuka bungeni badala ya kujadili Bajeti

    Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
  17. R

    Mbunge Subira amvaa Profesa Tibaijuka sakata la Bandari

    Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amemtaka Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutopotosha umma kuhusu utaratibu uliofanyika bungeni kwenye kupitisha azimio la Bandari. Subira ameyasema hayo leo wakati akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
  18. J

    Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
  19. Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  20. Profesa Shivji: Kujipendekeza ni taaluma

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…