Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla akizungumza na Wanachama maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye mkutano na Mabalozi, Viongozi wa Kata, Madiwani na Wabunge wa Wilaya ya Kinondoni.
Makalla amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama...
Dkt. Tulia Ackson Mwasau, Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), alionesha ujasiri wa kipekee alipokataa kuburuzwa na propaganda za kijinga zinazolenga maslahi ya baadhi ya watu au nchi, hususan mashambiki wa Zelensky na Ursula. Katika msimamo wake thabiti, Dkt...
Wananchi wa Tanzania wanapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuepuka udanganyifu wa wazi unaofanywa na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi. Serikali na wanasiasa mara nyingi hutumia mbinu za kiinimacho kama vile miradi ya ghafla, misaada ya muda, na ahadi zisizo na utekelezaji wa kweli ili kuwavuta...
Baada ya kuona Wananchi wengi wanaielewa hoja ya Lissu na Chadema kuwa bila kufanya Marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu, CCM wamechanganyikiwa kiasi cha kuanza kutengeneza propaganda mfu wakidhani wataweza kuendelea kuwarubuni Watanzania kukubali...
Noam Chomsky, mmoja wa wanafikra wakubwa wa zama zetu, ameandika sana kuhusu propaganda na jinsi serikali pamoja na vyombo vya habari vinavyotumia mbinu mbalimbali kuwadhibiti wananchi kwa kuwapa taarifa zilizopindishwa au kupotoshwa. Kupitia kitabu chake Manufacturing Consent (alichoandika na...
Kwa miaka mingi wamekua wakiishi kwa propaganda, kuonesha wao ni special sana na kuonesha wao ni "Victims". Blaming everything and ashamed with nothing.
Wame exadurate maafa ya WWII as if hakuna binadamu wengine wamekufa, zaidi ya wakristo mil. 60 waliuwawa, ila hawa hawasemwi. Like nothing...
Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
Propaganda ni mbinu ya mawasiliano inayolenga kushawishi watu kuamini, kukubaliana, au kutenda kwa namna fulani kwa kutumia taarifa zilizochaguliwa, zilizopotoshwa, au zenye mwelekeo wa upande mmoja. Inalenga kuathiri maoni, mitazamo, au tabia ya watu, mara nyingi kwa manufaa ya mtoa propaganda...
Wanabodi,
Utandawazi Kwa kiasi kikubwa umebadilisha maisha ya watanzania na jinsi ambavyo wanapata taarifa kuhusu mambo tofauti tofauti. Lakini je taarifa hizi zinazopatikana kwenye mitandao ni sahihi wakati wote?. Jibu la hili swali ni hapana. Katika harakati zako za kupata taarifa kwenye...
Katika siasa unapofanya propaganda hakikisha hiyo propaganda yako haiwezi kukurudia kinyume nyume na kuwa mwiba kwako. Hivyo proaganda ni lazima zihaririwe vizuri na kuangaliwa katika long term effect yake kwako au kwa wapinzani.
Swala la Mbowe kukaa muda mrefu lilianza kama propaganda za ma...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nakumbuka enzi hizo nikiwa mdogo miaka ya 2000+ nilikuwa napenda sana kusikiliza BBC yaani nilikuwa sipitwi. Moja kati ya habari nazozikumbuka ni watu kuvaa mabomu kujitoa muhanga sijui sokoni, kwenye kituo cha basi n.k .
Nakumbuka hizo habari zilikuwa...
Hellow!
Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu.
CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi.
Na propaganda hii inaenda...
Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda.
Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa vikisinzia kuitetea serikali ya awamu ya 6 kiasi ya kuwa vyombo vya mitandao ya kijamii vimeibuka...
Wakuu
Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa!
==
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
Yaani, katika kila tukio linalotokea, nadhani kuna watu huko Polisi ambao kazi yao ni kupindisha ukweli wa mambo kwa namna ambayo hata yule Joseph Goebbels, mkali wa propaganda wa Hitler, angewaonea wivu kwa namna ambavyo wanajua kupindua mambo!
Hebu angalia hili tukio la Mgombea wa Chadema...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa zilikuwa wazi muda wote na wagombea walipaswa kurejesha fomu za maombi.
Aidha,amesema kanuni zina ruhusa...
Habari zenu warwanda, nitaongea english sijui kinyarwanda
I need some clear explanations on this issue
I have came across some posts on social media that Tutsis are consiidered to be a minority tribe in Rwanda forming roughly 15 % of Rwanda Population but they are over represented in top...
Enyi wana CCM wa kweli, jifunzeni toka kwa wenzenu. Naona mmezoea kutumia propaganda kujisafisha ilhali wananchi wenye akili wanaona jinsi mlivyo wachafu na mnanuka.
Haya sasa ndugu zenu wa Democrats (CCM YA MAREKANI) mwaka huu wamefanya kama mnavyo fanyaga.
Wamewatumia akina Mwijaku wa...
Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema
Wachambuzi wengi wa mambo wameonya mara kadhaa kuwa masuala mengi hapa nchini yanayodaiwa kuwa na changamoto ama yanakuzwa au ni sehemu ya uzushi wa “mashine ya propaganda” ya vyama vya upinzani hasa Chadema.
Leo utata...
Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho.
Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.