"Kunapropaganda ilikuwa inapigwa kwamba ile timu ilikuwa inafanya mazoezi Avic Town tulifuatilia sisi na wizara tukakuta ni propaganda" Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF), Wallace Karia wakati akiwaomba wadau wa soka kuwa na ushabiki wenye manufaa kwa nchi.
Credit kwa Azam sports.
Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
Baada ya tukio la october 7, zilikuwepo taarifa za kuonyesha kuwa kulikuwa na unyama mkubwa sana uliofanywa na HAMAS siku hiyo ikiwemo ubakaji na mauaji ya watoto. Uongo huo ulisambazwa dunia nzima na hivyo kuipa Israel cover ya kwenda kufanya mauaji ya kimbari Gaza.
vyombo kadhaa vya habari...
Bandari ya Mombasa imekumbwa na chnamogo kubwa ya msongamano wa meli kiasi cha watumiaji bandari hiyo kuwaandikia wateja wao na kuwapa tahadhari juu ya kuchelewa kupakuliwa kwa mizigo yao kwa zaidi ya siku kumi
Barua ya Januari 18, 2024 kwenda kwa watumiaji wa bandari hiyo inaeleza kuwepo kwa...
Kuna baadhi ya wauzaji au madalali wa Magari wanasema Gari ambayo ni 4Wd sio nzuri kwasababu zifuatazo.
1. Zinakunywa sana Mafuta
2.Utengenezaji wake unakuwa mgumu.
Hapo nazungumzia kwa upande wa Zanzibar,tena kwa baadhi ya Yadi ambazo ni maarufu.
Kwa mfano Dalali anaweza kukuambia kwamba...
Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo!
Viongozi hawa...
Nafikiri Sasa jibu limepatikana ya kwamba ukija kucheza na yanga usije kichwa kichwa Kama vile unaenda harusini, unaweza kupigwa kipigo Cha mbwa mwizi kwa maana wanao wachezaji wenye ubora mkubwa sana hasa hasa viungo wao ni hatari kuliko corona!
Simba wameingia kucheza Kama vile wanacheza na...
Tunaenda na mabasi 80 yaliyojaa,
Kila basi Lina avarage ya 55 passengers ..so total kwa basi 80 n 4,400 na kila abiria aliambiwa anaandae 50k ya hotel na sio lodge, bado Kuna wale wataoenda na ndege na private cars approximately 5000 Guests in Kigali.
Je Kigali yenye yenye watu 1M inaeza...
Habari za mwisho tokea eneo la tukio kumhusu mwamba huyu nguli wa siasa:
"Yeye na wenziwe walikuwa wamefunga njia. Hapiti mtu kwani hata hao wamezuiwa isivyo halali."
Sasa kitengo chetu cha habari na propaganda kipo kimyaaa ...!
Nini kinaendea eneo la tukio? Sisi tulioko Lindi, Tarime au...
Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi.
Nikiangalia jinsi nchi inavyotafunwa na wachache namkumbuka sana huyu mwamba, kwa sasa uzembe serikali...
Wazee wanasema Ngoma ya watoto haikeshi. Hicho ndicho ninachoweza Kusema.
Sisi tulipaza sana sauti kumwambia Samia unaelekea kwenye matope tukaishia kuitwa sukuma gang. Oooh mara Tukazikwe Naye Chato. Watu wazuri hawafi.ujinga Mtupu
Kila aliyefungua kinywa na kumsonda kidole Samia aliitwa...
Mwaka huu ni wa 10 tangu Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika miaka hii 10, ushirikiano kati ya China na nchi zilizo katika njia ya Ukanda Mmoja na Njia Moja zimefaidika kwa kiasi kikubwa.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja ya...
Jumamosi, Juni 24, 2023.
Kibaha, Pwani.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa Ndugu Ramadhani Mwinshehe Mlao ( MNEC ) ameshiriki kama Mgeni Rasmi Katika Ufunguzi wa Baraza la Kawaida la UVCCM Mkoa Wa Pwani.
Katika Baraza hilo MNEC Mlao amempongeza na kumshukuru Dkt. Samia...
Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la muungano.
Kwa kuunganisha na hilo, katika mjadala huo bungeni tarehe 9 na 10/6/2023 aliyetia fora kuliko...
Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani.
Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito.
NAWASALIMU KWA JINA LA...
Huyu mzee hehehe eti ndiye tegemezi la Warusi na anavyofyatuka.... asema hizo ni ndoto za mchana
Russia's claims that its military had inflicted massive casualties on advancing Ukrainian troops are "wild fantasies", the boss of Russian mercenary group Wagner said Tuesday.
Moscow's defence...
Vita ni tamu kusimulia kutokana na matendo yake ya kishujaa lakini pia vita ni chungu kuiona kutokana na matukio ya mstari wa mbele yaani kumwaga damu kikatili na kupatwa kwa ugonjwa wa post traumatic stress kwa participants wote wa vita.
Leo nataka niwafahamishe vijana wadogo wajue kuwa vita...
WanaJf,
SALAAM!
Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.
Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.