Habari za wakati huu wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4.
Ps4 slim,ps4 FAT, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped. Nahitaji kufungua biashara ya playstation hivi karibuni, mnanishauri nichukue ipi kati ya hizo?
Habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kwa wale mafundi wa playstation 4, jinsi ya kukaba kwenye fifa 24 au 23, nimegundua nikiwa nacheza hili game wachezaji wangu hawakabi, ni kama wanamsindikiza mchezaji mpaka golini, nimejaribu kuangalia...
Ndugu zangu , siku ya leo nawaletea SONY PS4 PADS
Full ku enjoy
Hii inaenda kwa 70,000/= tuuuuu
Karibu sana
Tupo kariakoo mtaa wa aggrey/ndanda
Tupigie au wasap - 0659588492
Maongezi yapo ,
Jumla na reja reja
Habarini za jioni!
Kama kichwa kinavyojieleza. Miezi sita ilopita nilitamani kufungua kijiwe cha games za Ps na kwa bahati nilifanikiwa kununua baadhi ya vitu lakini baada ya kupata kibarua mbali na eneo nililotaka kufungua hiyo ofisi nimeona bora niviuze kuliko kumwachia mtu anitunzie.
1...
KWA HUDUMA BORA YA MASUALA YA GAMES,KARIBU SANA SKYGAMES 0710701361
TUNACHIP NA KUWEKA GAMES KWENYE PS4 PS3 NA PS2.PIA KUNA PC NA XBOX GAMES NYINGI SANA ZA KUTOSHA.
FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA PC NA
PES 17 PATCH 24 KWA AJILI YA PC INAPATIKANA, 4GB RAM, 2GHZ PROCESSOR🔥🔥🔥
PIA PES 24 YA PS4 ZA...
Wasanidi wa kampuni ya Rockstar wanapendekeza kwamba Grand Theft Auto 6 (GTA 6) inaweza kuwa toleo la mwisho katika mfululizo wa Grand Theft Auto tutakaotumia maishani mwetu. 🎮 🌟
Wananuia kusasisha mchezo (refresh the game) kila mara kwa misheni mpya, maeneo na miji mipya kwa njia za mtandaoni...
Nina ps4 , Version yake ni 9.00,
Binafsi kwenye games ni mpenzi wa mpira tu, mfano Fifa.
Sasa Je, kibongo bongo
A. Nicheze game original ?
B. Niichipu niwe naenda kuingizza games kwenye vibanda vya ps ?
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, Mungu akinijaalia mwezi wa 7 nataka kufungua kibanda cha kupata angalau Mia 2 Mia 3 ili niweze kulea mke wangu(sijamuoa) na mtoto wangu huku nikiendelea na masomo yangu ya shahada ya kwanza.
Hivyo basi jamani naomba kutangaza kuwa yeyte mwenye ps3 au ps4 used...
PATA FIFA 14 PATCH 23 🔥 🔥 🔥
PES 17 PATCH 23🔥🔥🔥
KWA BEI POA KABISA UNAZIPATA GAMES HIZO KAMA MASHINE YAKO INA 4GB RAM ANGALAU CORE 3i ILA BEST ZAIDI IWE i5.
Pia
TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC PSP 0710701361 🔥🔥🔥
TUNAFIKA ULIPO KWA DAR NA PWANI 0710701361📞🔥🔥🔥
KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA...
PS 4 fat gb 500
zipo Gem 7.
FIFA 2022
WRC7
Pes2021
Mortal 11 combart
God of wall
Need for speed heat
Gta5
Pad 2 hazina kipengere
Fika anza kucheza kabla hujalipia
Price Tag read: 590,000 net
ziite: 0713096076
Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo.
Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga.
Habari wajuvi, natumaini hamjambo
Katika pitapita zangu mitandao mbalimbali ya kijamii kusaka bidhaa used nimekuta bei ya ps4 fat used kati ya 500k - 550k tofauti na ps4 slim na pro ambazo bei ni kati ya 650k - 950k
Wakuu nataka ninunue ps4 fat kwa matumizi ya biashara je itanifaa au zina...
Habari za wakati huu wakuu,
Tunakodisha gaming consoles, bei ni kama ifuatavyo
15,000/= Kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 3 usiku,
10,000/= Kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 3 asubuhi,
30,000/= Kwa siku mbili
50,000/= Kwa wiki nzima
Wasiliana nasi (0777821973 AU +255 777 821 973)
Kutunza vifaa...
Habari wanajukwaa,
Nina mashine yangu ya PS4 FAT, Kuna siku ilizima ghafla, Tangu izime inashindwa kuwaka ukibonyeza inatoa tu mwanga wa blue kwa sekunde kadhaa then inazima haimalizi kuwaka.
Nimejaribu kutafuta solution Google Bado hazijanisaidia kwa Mwenye ujuzi wa Jambo hili au aliyewahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.