Ninauza PS4 Slim (imetumika kidogo), ina pad 2. Capacity 500GB. Nipo Dar (mkoani nitatuma pia but kwa gharama ya mnunuaji).
Bei TZS 780,000/=
Comes with CD ya Fifa19
Mawasiliano: +255 752 998 891
Ninauza PS4 Slim (mpya), ina pad 2. Capacity 500GB. Nipo Dar (mkoani nitatuma pia but kwa gharama ya mnunuaji).
Bei TZS 900,000/=
Comes with CD ya Fifa19
Mawasiliano: +255 752 998 891
Wakuu Habari,
Naombeni msaada nahitaji kununua gemes za Ps4 kwenye Store yao, ila shida inakuja hamna location ya Tanzania ukiwa unatengeneza account.
Iila nimetengeneza account nikaweka location US ila shida inakuja Kununua game account yangu ya Bank inakataaa Kuingia kwenye account yao ili...
Kama nilivyoandika hapo juu wakuu, nilikuwa nahitaji kuelekezwa sehemu au mtu anaeweza kuniwekea games kwenye ps4 gharama nitalipa ila awe na uwezo mzuri siyo mbabaishaji akaniharibia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.