PlayStation iko kwenye majaribio ya kuleta mfumo mpya wa Rewards ambapo watu wataweza kupata hadi $10 za PSN Wallet Credit baada ya kununua games zilizochaguliwa. ๐ฑ๐ณ
Ukinunua game yenye offer hiyo, $10 zinaongezwa kwenye Wallet yako ili zitumike kwenye manunuzi mengine ya PlayStation Store. ๐ค๐ฎ...