Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
PlayStation iko kwenye majaribio ya kuleta mfumo mpya wa Rewards ambapo watu wataweza kupata hadi $10 za PSN Wallet Credit baada ya kununua games zilizochaguliwa. ๐ฑ๐ณ
Ukinunua game yenye offer hiyo, $10 zinaongezwa kwenye Wallet yako ili zitumike kwenye manunuzi mengine ya PlayStation Store. ๐ค๐ฎ
๐น๏ธ Games ambazo zimeripotiwa kuwa na ofa
๐ธThe Blood of Dawnwalker
๐ธOnimusha: Way of the Sword
๐ธ Halloween: The Game
๐ธ Resonance: A Plague Tale Legacy
๐ธ Star Wars Zero Company na
๐ธ Mortal Shell II
Vipi sony wakikuwekea hiyo pesa ๐ utaitoa au lah tuachie maoni yako?