psrs

  1. M

    PSRS NA WAZIRI WA ELIMU HOI...!

    Asha kuum! Si matusi... Niwapongeze PSRS na wizara inayohusu mambo ya elimu kwa ugunduzi huu wa usaili kwa kada ya uwalimu kwa hakika tunaweza kupata walimu bora kama mnavyo jinadi kwenye majukwaa. Usahili wa walimu umefanyika na unendelea kufanyika kwa malengo yale yale ya Prof. Mkenda ila...
  2. N

    Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

    Kwa matokeo haya! Naipongeza sekretariati ya ajira
  3. G

    Mfumo mpya wa usaili PSRS kada ya Tutorial Assiatant

    Habari zenu wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu amefanya usaili wa kuandika hivi karibuni PSRS kada ya Tutorial Assiatant kwa huu mfumo mpya, je usaili unafanyika kwa computer kama wengine? mfano watumishi wa afya kama tulivyoona hivi karibu au kada Tutorial Assistant imebaki kama zamani, asante.
  4. sergio 5

    Utumishi (PSRS) napendekeza muandae mitihani kwa viongozi wa kisiasa wanaoshinda majimboni

    Habari za muda huu, Naamini nafasi za uongozi zinahitaji watu wenye akili na uelewa (intelligence), siyo tu kuwa na ushawishi au pesa. Tanzania kwa sasa, tunaongozwa na watu wenye nguvu ya ushawishi wa kifedha kama wabunge na madiwani. Ili tuwe na viongozi bora wanaozingatia uwajibikaji...
  5. K

    Msaada wenu PSRS

    Mimi nimeomba ajira lkn nashangaa nimeappy somo moja mkoa mmoja.. Zote zinanionesha nishaapply wakati nimeomba moja tu Physics inaniambia nimesha apply wakt nimeomba sehem moja..hata somo la pili sijaomba
  6. Pinacoladee

    PSRS aptitude test experience

    Hello job seekers, Sekretarieti ya ajira (PSRS) umeanzisha utaratibu mpya wa kufanya written interview online(aptitude test) mitihani hii imefanyika kwenye kila mkoa Tanzania nzima kwa vituo vilivyoanishwa. Hivyo basi Leo tar 6 umefanyika mtihani ambao unajulikana kama aptitude test wameanza na...
  7. L

    Placement za PSRS kuchelewa kwa muda mrefu

    Habari zenu wakuu? Kuna suala linanichanganya sana akili. Ni kuhusu placement za PSRS kuchelewa mno. DUCE walikaa miezi mingi kabla ya kuitwa (sio chini ya 8). Kwa sasa kuna kada tangu ifanye usaili mwezi Julai 2023 mpaka leo hii Dec 15 bado hayajatoka majina ya walioitwa kazini. Najaribu...
  8. S

    Ni kipengele gani kinamruhusu Katibu Utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira ya mtu?

    Ni kipengele gani kati ya vifuatavyo kinamruhusu katibu utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira la mtu? Ni kipengele kipi
  9. S

    Mwenye namba ya simu ya mkononi ya receptionist PSRS

    Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira. Niliitwa katika taasisi hiyo nipeleke changamoto na malalamiko nilijibiwa vizuri ila tu nilichoona haswa nilipaswa...
  10. sam mirror 1

    Ushauri juu ya psrs

    Habari, poleni na majukumuu ya kazi Kuna rafiki angu kaomba ushauri juu ya hili swala nimeshindwa kumshauri naombeni mawazo yenu kama kawaida katika kupambana na utumishi akafanikiwa kufika oral na kupangiwa kituo cha kazi Shida imeanzia apa baada ya ku report kituo cha kazi wanamwambia...
  11. SPONSA

    PSRS wanataka tujibu vipi mitihani yao ili tufaulu? Unajibu majibu sahihi wanaweka marks sio sahihi, inauma sana

    Dah nasikitika sana yaani unaweza kukata tamaa kabisa na ushahili wa PSRS unasoma unajiandaa vizuri kabisa unaenda kufanya mtihani unaufanya vizuri ulichosoma unakikuta kwa 100% na unatoka unaangalia unaona umejibu vilevile. Cha kusitikisha majibu yanatoka umepata 40% daah roho inaniuma nahisi...
  12. Rangooo

    TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
  13. Ahmed Saidi

    Mliopata ajira kupitia PSRS, status za application zenu zilikuwaje kabla ya kupata kazi na sasa hivi zikoje?

    Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje? Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa. NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri...
  14. S

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly. Kwanini sehemu ya...
  15. ThisIsIt

    Ukimya wa PSRS

    Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY. Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari...
  16. Samba

    Tume ya Ajira, mbona interview za UDOM hamjatoa tangazo kwa website ya PSRS kama zilivyo nyingine?

    kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS . au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
  17. Orosso

    Kwenu Sektetarieti ya ajira (PSRS), je, uwajibikaji na uwazi ni changamoto kwenu? Sio kipaumbele kwenu?

    Habari zenu wana jamvi. Nimeshuka jamvini na swali kama linavojieleza katika kichwa cha habari. Lengo kuu ni kuona namna gani michango ya wanajamvi inaweza saidia kufikisha ujumbe kwa wahusika na kufanya marekebisho katika dosari zinazojitokeza kila siku katika kutimiza majukum yao. Tunafaham...
  18. K

    Ushauri wa bure kwa PSRS

    Juzi kati ilibidi nigombane na ndugu yangu baada ya kunipigia ghafla akiniomba nauli ya kwenda kwenye usaili wa psrs huko Dar. Kwa kifupi ndugu yangu huyu alinishtukiza na sikua na kitu mfukoni, hivyo ikabidi niingie madeni kwa kumkopea pesa mahali. Ushauri wenyewe ni huu: Nashauri kwamba...
  19. kyagata

    Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

    Kwema wakuu, Yapata miezi 4 sasa tangu watu tutume applications za taasisi tajwa hapo juu lakini wahusika ni wako kimya tu hawaiti watu kwenye usaili. Hivi karibuni zimeibuka tuhuma mbalimbali kutoka kwa wadau kuwa kuna watu kutoka hizo taasisi tajwa hapo juu wameajiriwa kimya kimya bila hata...
  20. S

    Waliomba ajira ktk tangazo la MDA's na LGA's lililotoka PSRS.

    Habari, Kuna tangazo lilitoka la MDA's na LGA's muda kama mwezi na kitu hv nami niliomba lakini mpaka leo sijaona tangazo la kuita kwenye usaili toka PSRS. Je Kuna mtu aliona tangazo la usaili juu ya tangazo hilo au ana maelezo zaidi tafadhali.?
Back
Top Bottom