psrs

  1. Benjamin10

    PSRS wanachokifanya ni kukosa umakini..

    Habari wakuu.. Wiki kadhaa zilizopita nilikua nikituma maombi ya kazi.. kutumia ajira portal.. nilikua naitwa kwenye usaili.. sikufanikiwa.. kufaulu.. Nikaomba mara ya pili sikuitwa.. sababu.. lowyer.. hajaidhinisha vyeti vyangu.. nikavipeleka vikaidhinishwa.. 2.nikatuma tena.. sikuitwa...
  2. K

    Kwa nilichokiona leo pale ofisi za PSRS Dodoma, nashauri wawe na call centre ya kushughulikia malalamiko

    Leo asubuhi nilipigiwa na ndugu yangu yuko mkoa fulani akiniomba niende pale ofisi za psrs nikamsaidie kutatua changamoto flani inayomkabili kwenye account yake. Nimefika sikukuta foleni kubwa kivile ila nimegundua ni kwa nini simu hazipokelewi. Cha kwanza simu ni moja tu pale tena ya mezani...
  3. D

    PSRS mbona wamekuwa wakichukua muda mrefu mchakato wa ajira?

    PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata...
  4. S

    Alierejeshwa upya kazini through PSRS

    Wadau habari za jioni, alieajiriwa upya kupitia sekretarieti ya ajira tuwasiliane tafadhali namba yangu 0786601598; Kuna ishu nahitaji nimshirikishe.
  5. N

    Oral Interview za UTUMISHI (PSRS)

    Habari za humu wa forum? Nilikuwa naomba kujua maswali common ya ORAL INTERVIEW za UTUMISHI Asante.
  6. guojr

    Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Habari za muda huu wana jukwaa, leo ningependa kutoa ya moyoni kuhusu majanga yaliyonikuta katika mchakato wa kuomba kazi Serikalini. Huenda sio mimi tu bali wengi wetu yametutokea au yanatukwaza kwa namna moja au nyingine. Nitazungumzia mambo matatu ambayo kwa maoni yangu yanapaswa kuangaliwa...
Back
Top Bottom