psssf

  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 PSSSF na AICC kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KMICC) kati ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma...
  2. R

    Mkurugenzi PSSSF acha dharau na mazoea kwenye haki za watumishi

    Wanajukwaa habari za wakati huu. Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF anadharau juu ya haki za watumishi wenzake ambao wanadai haki zao. Ajue na kuelewa maana ya haki. Hapo...
  3. Atlast nimempata

    Mfuko wa hifadhi ya jamii PSSSF ni mfuko dhalimu! Naulaani milele! Umenidhulumu haki yangu niliyoidai miaka 14!

    H
  4. M

    PSSSF yazindua Baraza la Wafanyakazi Kidijitali Lengo ni kupunguza gharama

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua Baraza la Wafanyakazi linaloendeshwa kidijitali kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kusaidia jitihada za kulinda mazingira. Uzinduzi huo uliofanyika jana Februari 06, 2025 Mkoani Singida, uliongozwa na Mwenyekiti wa...
  5. Roving Journalist

    PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
  6. M

    KERO PSSSF Dodoma tofautisheni msaada na Haki ya Mtu

    Wanajukwaa habari za muda huu. Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF . Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na hata ukishakamilisha wanafanya malipo wanavyotaka. Hivi inakuwaje mtu anajaza taarifa zinachukua...
  7. R

    KERO PSSSF fanyeni malipo acheni urasimu

    Habari ya muda huu wanajukwaa. Nimelazimika kuandika hapa jukwaani kuhusu taasisi tajwa hapo juu. Tangia mwezi oktoba nilijaza fomu za kuomba fao. Nilijibiwa kama taarifa zimepokelewa na mwajiri na pia ofisi za PSSSF Isitoshe nimewapigia simu wakasema watalipa mwezi September. Hawajalipwa...
  8. Lonestar

    Kwanini PSSSF hawana ofisi wilayani?

    Hivi kwanini PSSSF hawana ofisi wilayani maana kuna watu wanasafiri umbali mrefu kufuata huduma mkoani kwa nn wasiweke mwakilishi hata mmoja wilayani
  9. JanguKamaJangu

    PSSSF yashika nafasi ya Kwanza katika Tuzo za Uandaaji Bora wa Mahesabu za NBAA, 2023

    MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji wa taarifa za mahesabu kwa mwaka unaoishia 2023, katika kundi la hifadhi ya jamii. Tuzo hiyo imepokelewa na Meneja wa Fedha, PSSSF, Bi. Vonness Koka, kwa niaba ya Mkurugenzi...
  10. Roving Journalist

    PSSSF yatoa ufafanuzi madai kuwa kuna changamoto ya huduma katika Tawi la Arusha

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa Mamlaka husika zichukue hatua juu ya Tawi la Arusha anapodai kuna huduma zisizoridhisha na kwamba wamekuwa hawawajali Wateja. Kusoma zaidi alichoandika...
  11. Roving Journalist

    Waziri Kikwete: PSSSF imeanza kulipa mafao kwa kikokotoo kipya kilichoboreshwa

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeanza kutekeleza maagizo ya serikali ya kuanza kulipa Mafao kwa kutumia utaratibu wa Kikomkotoo kilichoboreshwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ametangaza. Kikwete ametangaza...
  12. Tajiri Tanzanite

    DOKEZO Serikali tunaomba muitazame upya PSSSF Branch ya Arusha, huduma ziboreshwe

    Hapo vip!! Uongozi wa kipindi hiki tunaomba iongeze makali kwasababu Wananchi wanateseka na wengi wamekuwa waonyonge wanavyoanza kufuatilia haki zao au huduma katika Ofisi za Serikali. Wafanyakazi wengi wanaofanya kazi kwenye Taasisi za Serikali wamekuwa na kiburi, wanajiona Miungu watu na...
  13. Tajiri Tanzanite

    Kuna tatizo PSSSF Arusha(Public Service Social Security Fund)

    Hapo vip!! Binafsi sipendagi kuandika mambo yanahusiana na changamoto za serikali kwasababu watu hata hawafukuzwi kazi hata kama kweli tuhuma ni za kweli. Ila kwasababu sisi ni wanaharakati hatuwezi choka kuongea mawili matatu,kusema kero,changamoto,ugandamizaji n.k ni chakula chetu ni...
  14. Mparee2

    NSSF & PSSSF Wakusanye Taarifa za Wafanyakazi kabla hawajastaafu

    Ushauri wangu kwa NSSF Kutokana na maendeleo ya technologia, wastaafu wanaweza kurahisishiwa kabisa taratibu za kupokea mafao yao badala ya kuwacheleweshea kwa kisingizio cha taratibu zilizopitwa na wakati... Sasa hivi kuna Internet, kitambulisho cha taifa (NIDA), Passport, DIGITAL data base nk...
  15. milele amina

    Tetesi: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi July 2024 hadi September 2024 tukutana ofisi ya ccm Lumumba tar 4.10.2024

    Taarifa muhimu kwa wastaafu wote: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024. Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi. Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa...
  16. A

    Je, ni kweli mtumishi wa umma akistaafu akapata stahiki zote na kiinua mgongo ndani ya miaka 3 kisha kufariki watoto hawapati chochote PSSSF?

    Nimeteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi wa Mali za mama yangu mzazi mahakamani. Nilipoenda PSSSF nilichoelezwa ni kuwa kama mama alishastaafu na kupewa kiinua mgongo na kuwa amepokea zaidi ya miaka mitatu hela za kila mwezi zinazotokaga basi sisi kama watoto hatutanufaika na chochote. Je, hili...
  17. R

    Kunani PSSF, pensheni ya Julai vipi? Au mmefilisika!

    Ilisemwa semwa kuwa mmefilisika , mfuko una hali mbaya. Muda wote pensheni za wastaafu zinalipwa 23/ ya kila mwezi ithout miss. sasa mwezi jana na huu, mambo hayako sawa. Samia, hawa ndio wa kuwatumbua, siyo mashirika ha habari chini ya TTCL kwa kumpongeza Nape PSSSF sema kama mmefilisika.
  18. M

    Falsafa ya R4 itumike kutatua changamoto ya utoaji wa mafao baada ya kustaafu

    R4 itumike kutatua changamoto ya kikokotoo
  19. Roving Journalist

    Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF unachangia kuanguka kwa mfuko huo kutokana na kutokuwa na uongozi bora pamoja na kukosa uwekezaji sahihi. Pia soma ~ Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko ~ Uhuni mkubwa...
  20. K

    Natarajia kuwafungulia PSSSF kesi kwa kuninyima michango yangu

    Mimi nilikuwa mtumishi wa Halmashauri na nilistaafu kwa mujibu wa sheria baada ya kufikisha miaka 60. Nilipofuatilia mafao yangu hawa wajamaa wakagoma kunilipa wakitoa sababu kuwa mpaka michango yote ambayo Halmashauri ilitakiwa inichangie zichangwe kwanza na Halmashauri husika kwenda PSSF...
Back
Top Bottom