psychological trauma

  1. Cute Wife

    Reflections za mwisho wa mwaka: Nilichogundua watu wengi tumebeba trauma za utotoni na kufanya yawe maisha yetu

    Wakuu, Wakati tunaenda kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine ni vizuri tukaangalia nyuma na kujifunza kwa waliyopita. Moja ya kitu nilichoona hiki, watu wengi tumebeba trauma za utotoni na kufanya haya ndio yawe maisha wetu. Mtoto anajifunza kwa kuiga kutoka kwa waliomlea na wanaomzuka...
  2. Mpigania uhuru wa pili

    Watu wengi sana wanasumbuliwa na Psychological Trauma

    Muda sio mrefu nimetoka julwaa la love connect nimeshtushwa sana kuona watu wanavyowaponda watu ambao wanatafuta wachumba/ wake Wengine wanatumia mwavuli eti wanafanya utani na masihara kiukweli watu wanatrauma nyingi sana, wana-vidonda kwenye mioyo yao na wamekosa msaada. Huwezi kuwa mtu...
Back
Top Bottom