Mbunge wa Endebess, Dkt Robert Pukose, amezua mjadala baada ya kutoa kauli kali kuhusu Wakenya wanaoishi Uganda na wanaotarajiwa kuvuka mpaka kushiriki uchaguzi wa 2027.
Katika hotuba iliyoripotiwa Oktoba 2, Pukose alisema kuwa yeyote atakayejaribu kuwazuia Wakenya hao kuingia nchini kupiga...