Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi.
Kuna tenda mezani. Zinahitajika:
Pumba za Mahindi (Tani 74)
Mashudu ya Alizeti (Tani 22)
Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti...
Wakuu nina imani mnaendelea kupambana.
Nimeshangaa sana kukutana na watanzania wachovu kufikiria kama wale. Wale wazee ni watu wa pwani, wamefikishana mahakamani wanagombea mpaka. Eti wamedhulumiana futi tatu kila mmoja anasema ya kwake. Pamoja na zile futi tatu hazina uwezo wa kuhimili ujenzi...
Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho atapimwa Akili kama zinamtosha sawa sawa na pia kuangalia kama ama havuti Bangi au si Mlevi wa...
Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa Masoud Simba.
Ndugu zangu, taaluma ya CPA inayotolewa na NBAAA sio mchezo, hii ni body ya wakaguzi...
Asalaam,
Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini.
Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo.
Natanguliza...
Wanajf Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku!
Msimu huu nimebahatika kupata pumba ya kutosha!
Ninaomba anayejua namna nzuri ya kuihifadhi ili niitumie au hata kuiuza hapo baadae ninaomba anijuze!
Lengo ni ili isiharibike!
Msaada tafadhali
Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosea.
Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli...
GENTAMYCINE namuomba huyo Mtu wao wa PR / Communication aachie Ngazi kwa Taarifa ile ya Kipuuzi yenye Pumba nyingi na iliyotuachia Maswali mengi Sisi Great Thinkers wa Kutukuka.
Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili...
Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali.
Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao...
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyez mungu mwingi wa rehema, pia natoa pole Kwa wakulima wenzangu waliokumbwa na ukame katika msimu huu wa kilimo. Jambo lililonileta kwenu nikutaka kujua uhalisia wa mbolea za pumba ya mpunga ufanyaji KAZI wake pindi iwekwapo katika shamban la mahindi...
Muhuni akili mingi inadaiwa kama inavyoonekana kwenye video kuwa amekopa milioni 50 CRDB kwa kuwa alijua lazima wakague biashara yake, aliweka magunia mengi yakionekana yana nafaka kumbe ni uchafu tu, na yeye ametokomea yaani ameyeya.
Habari za majukumu ndugu zangu,
Naomba kufahamu na connection ya soko la pumba Kwa mikoa ya Arusha na Moshi.
Ni pumba laini kabisa za maindi na mpunga
Mimi na pumba ya kutosha nipo tabora.
Mawasiliano zaidi 0658644485
Serikali ya JMT leo imekutana na Mabalozi na wakuu wa Taasisi za kimataifa kuwafafanulia kinachoendelea Ngorongoro
Serikali ikiongozwa na Waziri Mulamula, waziri Ndumbaro na Naibu waziri Masanja
Masanja amesema mifugo ya nchi Jirani ndio Ilikuwa inaletwa Ngorongoro kwa ajili ya kunenepeshwa...
Halmashauri ya wilaya ya Iringa imeanza kutekeleza ushuru kwa mtu yeyote anayenunua pumba inayotokana ama na mahindi au mpunga kwa kuanzia kg 10 kwenda juu. mtu ambaye hatakuwa na kibali cha kusafirisha hiyo pumba faini yake ni tsh 200,000.
Aidha watendaji wameanza kuitekeleza na inaelezwa kuwa...
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.
Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Wapedwa katika bwana.
Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.
Dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa Messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa Messi una finance bajeti ya nchi ya Tanzania, dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma genius kama sisi hatuna ajira halafu vilaza wako kwenye media wanaongea pumba.
Eti bajeti ya tanzania ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.