Hapa ndipo vita vilipofikia.
Baada ya askari wa Ukraine walioingia eneo la Kursk mwaka jana kuzingirwa na kuwa karibu na kifo,raisi wa Marekani amewaombea huruma askari hao kutoka kwa raisi wa Urusi
Akiandika kwenye mtandao wake wa Truth ,Trump amemuomba Putin awaache askari hao warudi kwao...
UTANGULIZI: JE, VITA KATI YA NATO NA URUSI VINAWEZEKANA?
Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka tangu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, lakini kwa kiwango kikubwa zaidi baada ya Urusi kuivamia Ukraine mnamo 2022. NATO ilipanua wanachama wake hadi mipaka ya Urusi, huku Urusi ikijibu kwa hatua...
Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?
Je tunapaswa kuendelea kuwaamini na kauli zao nyingine katika kutafuta amani huko Ulaya na viunga vya Gaza...
Pia ikumbukwe kuwa raisi wa Ukraine amesha maliza muda wake wa uraisi.
Hata hivyo uchaguzi mpya Ukraine haukufanyika kwa sababu ya vita.
Pia Ukraine imeruhusiwa kujiunga na umoja wa ulaya EU kwa kuwa umoja huo sio tishio kwa urusi.
Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi nyingi ikiwemo Indonesia taifa lenye Waislamu wengi zaidi duniani, ndipo Putin akamuambia Indonesia...
Trump ni mfanyabishara makubwa, siasa zake ni siasa za kibiashara zaidi, anaifahamu kuwa Urusi ni taifa lenye mali, nguvu na technology kubwa ya Kila kitu. Anajua kuwa Urusi ni kikwazo kwa Marekani na Ulaya kijeshi na kirasilimali, hivyo hawawezi kuitoa Ukraine ambayo ina utajiri mkubwa wa...
Kwa ma globalists wenzangu tunaopenda mambo ya kimataifa hasa viongizi wa Dunia, Leo Dunia imechanganyikiwa baada ya Trump kuongea na Putin jumatano ya jana.
Matukio makubwa kama mkutano wa mawaziri wa ulinzi zaidi ya 30 wa nchi wanachama wa NATO, hotuba za viongizi wa nchi mbali mbali na maoni...
John Bolton mshauri wa masuala ya usalama na ulinzi wa marais wengi wa Marekani na mtu mwenye misimamo mikali ya kivita amelaani vikali Trump kuisalimisha Ukraine kwa Russia kabla hata mazungumzo ya amani hayajaanza.
Bolton anasema Putin ameshapata kila kitu kwa Trump na kwamba terms za amani...
Vladimir Putin is forcing wounded Russian soldiers back to battle on crutches as the Kremlin lost a staggering 48,000 troops last month alone.
New images have emerged showing exhausted and injured Russian combatants gingerly making their way through muddy trenches using walking aids...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Kiev ingependa kukomboa maeneo yaliyochukuliwa na Urusi kwa njia ya kidiplomasia, lakini Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza mapambano ya kijeshi.
Zelensky amesema baada ya uvamizi wa Urusi kuanza, Ukraine ilifanikiwa kukomboa tena zaidi ya 50% ya...
Putin asema Russia 'iko tayari kwa mazungumzo' na Donald Trump kuhusu Ukraine.
Rais wa Russia Vladimir Putin alisema yuko "tayari kwa mazungumzo" na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu jinsi ya kumaliza vita nchini Ukraine.
Putin alitoa maoni hayo mwanzoni mwa wiki wakati wa mahojiano kwenye...
Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO.
Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema kuwa Russia ilihusika.
Putin alisema Jumamosi kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia ilikuwa hai...
Putin pia amesema kuwa Urusi iko tayari kwa mazungumzo na maridhiano kuhusu Ukraine, lakini inahitaji upande wa pili uwe tayari pia. Aidha, alionyesha utayari wa kukutana "wakati wowote" na Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump, ambaye ameahidi kufanikisha mkataba wa amani wa Ukraine mara baada...
Wakuu,
Muda mfupi baada ya kuwepo kwa taarfa kuwa Bashar Al Assad amekimbia nchi na kwenda kusikojulikana, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa tamko
Trump amesema kuwa moja ya sabu ya Assad kuanguka ni kwa sababu hakupata msaada kutoka kwa Urusi na kuongeza kuwa ni muda muafaka sasa...
Hapa sasa nachanganyikiwa niwe upande upi. Maana Uturuki ndo Ottoman Empire yenyewe na movies zake zinaoneshwa sana Azam. Sasa wanapopambana na Syria... Napata kigugumizi. Putin safi sana.
Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni:
1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati
2)Kulipa msaada wa...
Wakuu,
Rais wa Urusi Vladimir Putin anadaiwa kuwa na mtoto wa siri ambaye anaishi Ufaransa na kufanya kazi kama DJ kwa kutumia jina bandia.
Elizaveta Krivonogikh, mwenye umri wa miaka 21, ambaye anahisiwa kuwa binti mdogo wa Putin, anaripotiwa kuishi na kufanya kazi jijini Paris kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.