Luteni Kanali Vladimir Putin: Afisa muandamizi wa KGB Ujerumani Mashariki na mfadhili wa makundi ya kigaidi Middle East (PFLP, Hezbollah, Hamas)
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
Mali yake imefuatwa kimya kimya na kukadiriwa kuwa $200b, hiyo ni sawa na ukijumlisha GDP ya mataifa kama saba hivi ya Afrika, lakini jamaa ni msiri kupita maelezo............
They say money equals power, and Vladimir Putin has plenty of power of right now.
But how much money does he have...
Asilimia 71 ya Warusi waliopiga kura wameunga mkono marekebisho yaliyopendekezwa kubadili katiba ihuku zaidi ya asilimia 28 wakipinga. Mabadiliko hayo yatamruhusu Rais Putin kusalia madarakani hadi mwaka 2036.
Mchakato huo ulifanyika katika vituo 800 vya kupigia kura katika maeneo ya kimamlaka...
Wananchi huko Urusi wameanza kupiga kura ya maoni ili kuruhusu Rais Putin kubakia madarakani kwa miaka 16 zaidi. Upigaji kura huyo utakamilika Julai mosi.
Urusi inafanya kura ya maoni ya kubadilisha Katiba ya nchi ili kumuwezesha Vladimir Putin asalie madarakani hadi mwaka 2036 na atekeleze...
Rais wa Jamuhuri ya Urusi Bwana Vladimir Putin amekosoa vikali maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kupinga ubaguzi na kusema yale sio maandamano bali ni fujo.
Putin anasema zile ni fujo zilizojificha kwenye mgongo wa maandamano ya kudai haki za usawa na ubaguzi wa rangi.
Binafsi...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefungua mjadala wa Bunge kufanya mabadiliko ya katiba yanayoweza kumruhusu kukaa madarakani mpaka mwaka 2036. Hata hivyo katika hotuba yake amesema, angependa kuwepo ukomo wa mihula ya Urais nchi ikishakomaa kisiasa.
===================
(MOSCOW) — Russian...
Rais wa Urusi Azungumza na rais Erdoğan kufuatia shambulizi dhidi ya jeshi la Uturuki na kusababisha maafa.
Urusi na Uturuki zavunja ukimya baada ya shambulizi lililowalenga wanajeshi wa Uturuki Idlib na kupelekea vifo vya askari 33 wa Uturuki.
Waziri wa Urusi wa mambo ya je Sergey Lavrov...
Waziri Mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev ametangaza kuwa serikali imejiuzulu. Taarifa hiyo inakuja muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kutoa hotuba yake ya kila mwaka ya kitaifa.
Kukubaliana na kujiuzulu huko, Putin aliwaomba mawaziri kuendelea kufanya kazi hadi pale serikali mpya itakapoundwa...
Wakati moto ukiwaka kwa kasi baina ya Marekani na Iran ghafla bwana Putin akapiga ziara ya kushitukiza Syria kisha akaelekea Uturuki kukutana na Edorgan.
Binafsi nikajua ziara yake inahusiana na kutafuta amani eneo hilo kumbe yeye ana issue zake za Bomba la gesi kutoka Russia hadi Turkey...
The German Chancellor will travel to Russia to meet President Vladimir Putin this coming Saturday. The pair plan to discuss the Iran escalation as well as the conflicts in Ukraine, Libya and Syria.
Russian President Vladimir Putin on Monday invited German Chancellor Angela Merkel to Russia...
Habari!
Unaweza kushangaa ama usishangae ila kaa ukijua kuwa Rais wa Shirikisho la Urusi Ndugu, Vladimir Putin bado anatumia mfumo wa Windows XP katika kompyuta zake licha ya hatari nyingi za kiusalama za mfumo huo.
Putin mwenye umri wa miaka 67, hivi karibuni ameonekana katika ofisi yake...
In a Q&A with university students, Erdogan said he struggles to name a current inspirational leader from Europe
Turkish President Recep Tayyip Erdogan on Tuesday named U.S. President Donald Trump, Russian President Vladimir Putin and Qatar's Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani as the leaders whom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.