Rais Joe Biden wa Marekani amesema madikteta ambao hawawajibishwi kutokana na uchokozi wao ndio wanaosababisha machafuko zaidi na kuongeza kuwa uvamizi wa rais Vladimir Putin wa Urusi nchini Ukraine ulikuwa ni wa kupangwa na wala haukuchochewa
Rais Biden ameyasema hayo kwenye hotuba ya hali ya...
Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa.
One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio...
Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia...
Wakuu habari, Russia yupo na uwezekano mkubwa wa kuiangusha Serikali ya Ukraine, japo Ukraine anaonyesha ustahimilivu lakini hawezi kudumu milele.
Sasa tukiangalia kiini cha hii vita ni Serikali ya Ukraine kukataa ,matakwa ya Putin ambayo yangemfanya Putin kuwa na control na sera za Ukraine...
Wakuu Dunia nzima ikiungana dhidi ya Putin
Jambo la kushangaza sana ni kuwa shem wenu anamsupport kwa moyo mweupe.
Ni jambo la kusikitisha kwamba kwa jinsi alivyo anasupport ukandamizaji wa haki na uhuru kwa kiasi hicho.
Haachi kunitumia picha na clip za warusi.
Naona kama atawafundisha...
Vladimir Putin, the Russian president, is a highly successful individual who has accomplished a great deal in his life. Also, as a human being, he has his flaws and his virtues. As a result, here are ten things you may not have known about Vladimir Putin from US and international media coverage...
Kwa Hali inavyoonekana hii Vita imeonekana kuwa un popular kwa Russia au Putin.
1. Kwanza, nchi nyingi zimeonesha huruma kwa Ukraine kuliko kuishangilia Urusi kuipiga Ukraine. Kwa mfano Poland amegoma kucheza na Urusi kwenye Qualifiers za world cup na Putin kunyanganywa mkanda mweusi kwenye...
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi.
Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya...
Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo.
Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
Yuko kikazi zaidi. Kama wanadhani ana-beep, basi wasubiri kupigiwa.
Russian Prime Minister Vladimir Putin rides a horse during his vacation outside the town of Kyzyl in Southern Siberia on August 3, 2009. AFP PHOTO / RIA-NOVOSTI / ALEXEY DRUZHININ (Photo credit should read Alexsey Druginyn/AFP...
Hii iwafikie viongozi wetu,
Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa.
Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters.
Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko.
Kapicha haka hapa.
Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa kwenye mataa na wale iliyodhani watamsaidia (Marekani na NATO), Putin katoa ofa kwa serikali ya...
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka...
Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua.
Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin mara baada ya kutangaza mashambulizi dhidi ya Ukraine, ametoa onyo kwa mataifa ya Magharibi kuwa yeyote ambaye atajaribu kuingilia kinachoendelea baina ya mataifa hayo mawili atakutana na kitu ambacho hajawahi kukutana nacho.
Milipuko ilisikika Mji Mkuu wa Ukraine...
Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine. Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.