The strikes come as President Volodymyr Zelensky warned Putin is running out of time to sit at the negotiating table, as analysts now suggest Ukraine may well win the war in the coming weeks.
Russia is believed to have hoped for a blitzkrieg lasting mere days before securing overall control of...
Mei 9 hutumika kama maadhimisho ya kijeshi ya kusheherekea ushindi dhidi ya Hittler, na kawaida wanajeshi Warusi hufanya gwaride zao kwa mbwembwe na huonyesha zana zao za kivita kama mikwara kwa dunia. Pia Putin hutumia hiyo siku kueleza ushindi wa Urusi kwenye mapambano mbali mbali.
Sasa huyo...
Meli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini.
Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea.
Vita ya Ukraini vimeiexpose Urusi na kuwaacha utupu wa mnyama.
Aibu kubwa kwa Putin na kwa Hali...
Rais Vladimir Putin ameahidi kuwa Russia itatimiza kile alichokiita ni "malengo mema" Nchini Ukraine. Amesema mazungumzo ya amani hajapata mwafaka, na uvamizi huo unaendelea kama ilivyopangwa
Aidha, Kiongozi amedai hakuwa na uamuzi mwingine zaidi ya kuanzisha uvamizi huo, ikiwa ni jitihada za...
Raisi Putin amemteua generali Alexander dVOrNIKOV kuwa kamanda mpya wa kuongoza jeshi lake katika nchi ya Ukraine.Generali Alexander ndiye aliyekuwa kamanda wa mwanzo wa Urusi nchini Syria katika kumsaidia raisi Assad kupambana na wapinzani wake walioungwa mkono na Marekani na Israel.
Masaa...
Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha...
Msemaji wa Putin, Mr. Peskov anakiri wamepoteza kwenye vita na Ukraine, amesema wamekiri kutofanikiwa Kwa kasi Kama walivyodhani, na hii ni kutokana na wageni kuingilia operation yao huko Ukraine.
Peskov kasema Mrusi anayenuka jasho hapo Sinza Kwa Remmy anabisha
Britanicca
Marekani imesema inaamini Mali nyingi za Rais wa Urusi, Vladimir Putin zimefichwa na Wanafamilia. Kauli hiyo inakuja kufuatia vikwazo vipya vilivyotangazwa dhidi ya Watu wa karibu wa Putin wakiwemo Mabinti zake wawili
Taarifa ya Marekani imemtaja Katerina Vladimirovna Tikhonova kama Mkurugenzi...
Rais Vladimir Putin amesema Urusi inalazimika kuangalia kwa karibu mauzo yake ya chakula kwa nchi zisizo rafiki kwani vikwazo vya Magharibi vimechochea janga la chakula duniani na kuongezeka kwa bei za Nishati.
Vikwazo vya Nchi za Magharibi kutokana na uvamizi wa Putin mnamo Februari 24, 2022...
Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake.
Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali...
Russia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya.
Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na vifaa vyake vya kivita Russia aliishia kupata hasara kubwa sana kwenye ile winter war, zaidi akaishia...
Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Aprili 4, alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki. Hati hiyo ilichapishwa kwenye tovuti rasmi ya mtandao ya habari za kisheria.
Hati hiyo ilitiwa saini "kulingana na hitaji la kuchukua hatua za haraka katika...
There are two reason
First, Indonesia is a sovereign and independent country that can allow or invite whoever it wants into our country regardless of his or her political affiliation or actions.
Second, the G20 is an economic forum, and Russia with its $1.4 Trillion economies are amongst the...
Marekani na Uingereza zimesema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapotoshwa na washauri wake ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi ambavyo uvamizi wake kwa Ukraine ulivyo na madhara makubwa.
Uingereza imesema kuwa vikosi vya Urusi vilivyopo Ukraine vinazidi kupata tabu, na wanaamini Rais...
Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!!
Ili kuwadanganya Hawa watoto wa...
Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge.
Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na...
Kwa kifupi Biden hajaropoka TU,Bali amejikuta akitoa Siri kwa kukosa kifua.
Ni kama yule Rais alosema wanajeshi wakiwa vitani halafu akatokea msaliti wanajeshi humshughulikia.mda mfupi baadae Kuna mtu mmoja akamimimniwa vipande vya vyuma mwilini. Rais huyo alijikuta anakosa kifua na hatimae...
Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi.
Sasa Urussi...
Rais wa Marekani, Joe Biden amemshambulia moja kwa moja Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hotuba yake kwa kusema ‘Mtu huyo hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu’ na kuonya kuwa kama akiendelea anachokifanya anaweza kusababisha vita ya muda mrefu Ulaya.
“Mungu wangu, huyu mtu hatakiwi kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.