Licha ya kuwekewa vikwazo na mataifa ya Magharibi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin akizungumza katika Kongamano Jijini St Petersburg amesema vikwazo hivyo ni vya ovyo na havina malengo, pia haviwezi kufanikiwa kuwarudisha nyuma.
Amedai kuwa vizuizi hivyo vinawaumiza wale walioviweka, akidai kuwa...
Rais wa China, Xi Jinping ameahidi kuendelea kumuunga mkono Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika masuala ya msingi hasa Uhuru na Usalama.
Kauli hiyo imetolewa baada ya viongozi hao kuzungumza kwa njia ya simu, ikiwa ni mara ya pili kufanya hivyo tangu kuanza kwa vita ya Urusi dhidi ya Ukraine...
Kwa mara ya pili baada ya wiki mbili, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitembelea ngome za jeshi kwenye mstari wa mbele - kwanza katika mkoa wa Kharkiv, na sasa katika sehemu hatari zaidi za mkoa wa Donbass na Zaporizhia. Wataalamu wa Ukraine na nje ya nchi wana hakika kwamba, licha ya...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Nchi za Magharibi haziwezi kuendelea kugomea nishati ya mafuta na gesi kutoka katika taifa lake wa miaka mingi ijayo.
Amedai kuwa makampuni ya Urusi yanaendelea na mchakato wa kuchimba visima kwa kuwa wanajua biashara ya nishati itakuwepo.
Kauli hiyo...
Huku majenerali wakiendeleea kuuawa vitani, kaona heri awapunguze mwenyewe maana sio kwa aibu ambayo Urusi inazidi kupata kutoka kwa kajirani kadogo Ukraine.
Binafsi hainingii akilini hii ni ile ile Urusi niliyoiogopa siku zote, ndio inalizwa hivi
=========
Vladimir Putin fired five generals...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amepata pigo baada ya kumpoteza jenerali wa 11 katika mapambano dhidi ya Ukraine, aliyefariki ni Meja Jenerali Roman Kutuzov.
Inaelezwa gari lake lilishambuliwa wakati wa mapigano katika Mji wa Donbas. Kinatajwa kuwa kifo cha juu zaidi kwa waliofariki katika...
Rais Vladimir Putin amekosoa Mataifa ya Magharibi yanayoendelea kuipatia Ukraine silaha, akisema yanalenga kuendeleza Vita kati ya Urusi na Taifa hilo
Amesisitiza kuwa, kupeleka silaha hizo hakubadilishi hali ya Jeshi la Ukraine. Viongozi wa Urusi wamekuwa wakionya uamuzi wa Marekani kuipatia...
1. Atoa onyo kwamba watayateketeza.
2. Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito.
3. Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
Kuna taarifa kwamba rais wa Russia Bw. Vladimir Putin huenda akafariki dunia katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kutokana na maradhi yanayomwandama.
Kwa taarifa kamili unaweza ukasoma hii Link hapa chini...
Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine
Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
Yeah, yeah, we’ve heard that before. 1944, the alleged “Wunderwaffen” of the Nazis. Didn’t work then, won’t work now. It’s propaganda directed at the Russian population, drawing attention away from the war that’s not going as planned.
The worst he can do, short of annihilating the world, is...
Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani.
_________________
More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine
Prepared to face consequences, many Russian troops are disobeying their officers and are not willing to go to Ukraine...
Kwa mtazamo wangu nilipenda Sana dunia ipate machungu Kama wananchi wa Ukraine wanavyopata machungu ,Jambo moja ambalo dunia haitambui tatizo lingekwisha kitambo Sana endapo Ukraine ingeamua kujikalia kimya kwenye majumba yao na siyo kutunisha misuli na misuli hawana wanategemea support ya watu...
Rais Putin jana alisema Urusi inapanga kuuza nje chakula na mbolea ili kutoa mchango katika kukabiliana na msukosuko wa chakula duniani, lakini sharti lake ni kuwa nchi za magharibi zitaondoa vikwazo vilivyowekwa kutokana na madhumuni ya kisiasa.
Habari kutoka tovuti ya Ikulu ya Urusi imesema...
Kkumekuwa na majaribio saba (7) ya kumuua Putin
Seven Assassination Attempts
On Vladimir Putin To Date
Pravda
Translated by Guerman Grachev
1-24-7
Officials and statesmen have been targeted by terrorists and the like from time immemorial. President Charles de Gaulle of France set a kind of...
George Bush kamlaumu vikali rais Putin wa Russia akisema kuwa Putin kaivamia Iraq kijeshi kwa uonevu tu pasi na sababu yoyote ya msingi...
Bush aliposhtukia kuwa anaongea mambo ya ajabu aliyoyafanya yeye mwenyewe Iraq, akacheka kwa kuchapia kisha akasingizia uzee wake.
Mwaka huu tutaona mengi...
Russian leader Vladimir Putin is "very ill with blood cancer' it has been reported. An oligarch with close links to the president has reportedly been recorded as giving the information during a conversation with a Western venture capitalist.
There have been a number of claims about Putin's...
Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea.
Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala...
mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin
Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.