Ni kijana wa miaka 26, mwenyeji wa mbeya ambae kwa sasa ninaishi Bagamoyo-Pwani. elimu yangu ni.kidato cha sita PCB, ninaweza computer vizuri katika shughuli za video library, kuflash simu na shughuli za kisteshionali.
Nina nguvu ya kufanya kazi yeyote kwa maelekezo kiasi. kwa yeyote aliepo...