Hivi unaanzaje kuwashitaki QNET?
Kikwelikweli kabisa QNET ni matapeli wanaotumia 'FEARS' za mtu kupitia njia ngumu ya kuupanda mlima mkali na mrefu kuyafikia mafanikio kwa kumpa 'shortcut' hewa! ... LAKINI, KWELI KABISA, HAWASHITAKIKI!
Wanachofanya QNET ni biashara halali kabisa ya kumuuzia...