queen

  1. S

    Ni dharau kuwapa Tsh. Milioni 5 wachezaji wa Simba Queens kama washindi wa Ngao 2023

    Waandaaji wa haya mashindano yaliyowaibua Simba Queens kama washindi wa ngao ya jamii 2023! Kutoa 5Mil kwa mshindi wa kwanza ni dharau kubwa. Hata mashindano ya ndondo cup wasingetoa pesa hiyo. Hawa Dada zangu hatujawatendea haki kabisa!
  2. R

    Kuna slay queen jana nimempiga mjegenye mpaka akatoka mbio na mimi asubuhi nimejikuta nipo wodini siwezi kutembea! Mombi yenu wakuuembea

    Hili dada poa wa.kutoka hapa kitambaa cheupe kwa jina namuhifadhi slim flani yaani ana nyama kidogo na pia ana kishundu balaa kila siku nilikuwa namuambia ipo siku nitakuonesha na pia alikuwa ana dharau balaa kwamba mimi simpi kile kitu inapenda.aisee Basi bwana jana nikarnda pale kitambaa...
  3. Kurunzi

    Simba wamchukue Kocha wa JKT Queen Estre Chabruma

    Uzi tayari
  4. Jidu La Mabambasi

    Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo. Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke. Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga. Mama Samia tukimtazama kwenye runinga...
  5. Makonde plateu

    Hawa maslay queen bwana, soma na wewe

    ⚠️😭 Socialite huyo wa Nigeria kwa jina la Benjamin(Killaboigram) ambaye ana miaka 26 amekiri na kujutia kumuua mpenzi wake huyo kwa jina la Austa ambaye pia ni socialite baada ya kutokea ugomvi baina yao Alimuua katika nyumba aliyokuwa anaishi, ilijulikana baada ya familia ya mwanamke kumtafuta...
  6. BARD AI

    Siku 10 za Maombolezo na Mazishi ya Malkia Elizabeth II ziliigharimu Serikali Tsh. Bilioni 473.9

    Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022. Gharama zilizokadiriwa ni pamoja na: Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo - £57.42m Idara ya...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Attention students and recent graduates! The Queen Elizabeth Commonwealth Scholarships (QECS) have just announced their scholarship program

    Attention students and recent graduates! The Queen Elizabeth Commonwealth Scholarships (QECS) have just announced their scholarship program, offering a unique opportunity to study a two-year Master's degree in a low or middle income Commonwealth country. If you are committed to creating change...
  8. Makonde plateu

    Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

    MKASA WA DOKTA MELLUS TSHUBE... Alikuwa kawaida tu. Hakuonekana kuwa na msongo wa mawazo. Aliendelea na shughuli zake za kila siku kama kawaida. Hata, Feb 2 mwaka huu, alipost picha akiwa na mkewe katika hali ya mahaba. Alikuwa baba wa familia ya watoto wawili; kijana Isago Tshube (7) na...
  9. Da Vinci XV

    Aishat is a Queen

  10. ninosi

    09/11/2022: Simba Queen inaenda kuirudisha heshima ya Taifa tena baada ya Yanga SC kujaribu kuipoteza

    Mnano 09/11/2022 timu bora kabisa katika ukanda Wa Africa Mashariki na Kati, Simba Queen itakua ikiendelea kuliheshimisha Taifa. Kuanzia 19:00 Simba Queen itakua dimbani nchini Morocco ikipambana na 'Mabingwa Watetezi' Mamelodi Sundowns Queen katika nusu fainali ya CAF Women's Champions League...
  11. Nyuki Mdogo

    Ninachokiona sasa hivi kwenye account ya Facebook ya Queen Darleen inasikitisha sana, Serikali imuwajibishe

    Huyu msanii wetu amepost kwenye facebook story, video za ajabu sana. Lengo lake nini? Anajiuza? Au ametumwa kutumahasisha tufanye visivyo sawa?
  12. Pascal Mayalla

    Je, tutumie Msiba wa Malkia kama darasa somo la Organization, Simplicity, Humility na Humbleness au tukomae na misafara yetu na ubosi wetu?

    Wanabodi, Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali. Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
  13. kavulata

    Mazishi ya Queen yamewageuza viongozi wetu Afrika kuwa watoto wa shule

    Hadhi waliopewa viongozi wetu wa Afrika kwenye mazishi ya Queen sikuyapenda hata mimi, kama watoto wa shule vilee!! wamefuata nini cha mno? ona usafiri walipewa tofauti kabisa na wengine. Nani katuroga? njaa au nini? usipokwenda watakufanya nini?
  14. Mathanzua

    KING CHARLES III vows to usher In ‘Great Reset’ or NWO following Queen Elizabeth’s death while Queen Elizabeth’s corpse is still warm

    The Queen "has been taken away" from the world stage and everyone who’s well knowledgeable about the New World Order Globalists knows this is the end of an era and the beginning of a new one.It was not a coincidence that we had a new Primeminister and new King at the same time,it was planned...
  15. Valencia_UPV

    Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

    1. Joe Biden - Rais wa Marekani, 2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa, 3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya, 4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda, 5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani, 6. Paul Biya - Rais wa Cameroon, 7. Patrice Talon - Rais wa Benin, 8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger, 9...
  16. M

    Nimemsikiliza Kiumakini sana Malema juu ya Kifo cha Her Majesty Queen Elizabeth na kugundua huenda akawa na Akili Kubwa kuliko 98% ya Waafrika

    Tena Julius Malema si tu anatakiwa apewe Tuzo ya Ushujaa, Ukweli na Uthubutu dhidi ya Imperialists kwa Kuwachana 'live' bali anatakiwa Ajengewe Mnara katika kila nchi Barani Afrika. Afrika ingekuwa na akina Malema Kumi ( 10 ) tu nina uhakika si tu ingefika mbali Kimaendeleo bali pia...
  17. MamaSamia2025

    LIVE: Kinachoendelea msibani kwa Eliza, UK

    Tayari tupo msibani huku kwenye jumba la kifalme kama picha niliyopost inavyoonyesha. Muda mchache uliopita alifika mzee wa ukoo na tayari kikao cha wanandugu kinaendelea. Ila jana tayari walishamchagua mrithi wa malkia... kuna mtoto wa Malkia anaitwa Charles ndo kachaguliwa.... wenyewe huku...
  18. U

    Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

    Wadau hamjamboni nyote? Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola Hebu someni wenyewe alichoandika: "We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very...
  19. Kurunzi

    Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

    Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
  20. Jesus Mlokozi

    Simba Queen yapata Basi kubwa jipya. Yanga Princess vipi!?

    Simba Queen inaendelea kujiendesha kibiashara kila siku. Leo wamepokea basi kubwa la kisasa kutoka AfriCarier.
Back
Top Bottom