quran

  1. Kauli Mbiu ya CCM, ya Utu na Kazi, Imewapa Agenda ya Awali Wapinzani.

    CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake. Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
  2. Nimetafuta kwenye Quran hakuna sehemu Mungu amesema waislamu muoane

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Sipo hapa kwa kubeza wala kukejeli nataka kupewa elimu kutoka kwa muislamu aliyesoma Quran tukufu ambayo ndio muongozo wa muislamu na usinilete hadithi kutoka muslim na tilmizu eti alimsikia mtume akisema hapana. Nataka kwa mwenye andiko kutoka kwenye kitabu...
  3. B

    Serikali yaipongeza Benki ya CRDB kudhamini mashindano ya Quran

    Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Pongezi hizo zimeetolewa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa aliyemwakilishwa Rais Samia...
  4. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  5. J

    Leo Ndio Fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu Uwanja wa Mkapa, Mgeni rasmi Rais Samia

    Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia Karibuni sana https://www.youtube.com/live/ml6IdLNv8EM?si=LTNVm5mk9dHja8kE
  6. Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Amani kwenu wakuu Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku ================== Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
  7. C

    Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

    Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani. Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na...
  8. Kama Mwanamke anakukwaza, hakutii ; Quran inasema mpatie kipigo akili ikae sawa

    Hatua ya kwanza. Kuwapa nasaha, Ikishindikana hapo, muwahame.. Yaani muwaache majumbani pekee yao. Umemuhama kakufuata lakini bado anaendelea na tabia zake, ruksa kumshikisha adabu, japo namo kuna maelekezo ni vipi kumshikisha adabu.
  9. J

    Hivi mnajuwa hakuna waandishi wa vitabu walijiona wasomaji wa vitabu vyao kama waandishi wa vitabu vya dini

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa kitabu chake ni watu wa aina gani? Kwa mfano ukiandika kitabu kwaajiri ya watoto, lazima...
  10. Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
  11. G

    Zinaa kutangazwa hadharani, ni moja kati ya dalili 4 za nyakati za mwisho, kwa mujibu wa Quran

    Dalili hizo ni pamoja na:- 1. Riba kuongezeka sana. Hivi sasa mikopo ya kausha damu iko kila mahala, mpk mitandaoni. 2. Wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe. Mashoga yapo kila mahala duniani kote, na ndoa zishaanza kufungiwa. 3. Wanawake kuunganisha nywele zao na zile za bandia, ili zionekane...
  12. G

    wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

    Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?" Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu...
  13. M

    Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake

    https://www.youtube.com/watch?v=dt5CakYo9AA Leo kutakuwa na mashindano makubwa ya kuhifadhi Quran kwa wanawake katika uwanja wa Mkapa. Mgeni rasmi atakuwa ni Rasi wa Tanzania - Dr Samia Mashindano yataonyeshwa Live kupitia channel mbali duniani Wanawake wameuhifadhi msahafu mzima wakiwemo watoto...
  14. Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

    Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia. Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa...
  15. Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

    Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao. Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini? Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21. Mfia dini au mfia duni.
  16. Hakuna kitu kinanipa utulivu kama Quran

    Kuna vijana mimi nimeshuhudia walikuwa watukutu sana wakilewa 24 hours wakaacha uhuni ghafla baada ya kuanza kusikiliza Aya za Quran yaani ina njia fulani hivi sahihi sahihi sana walioandika Quran na biblia ni watu wa Mungu waongofu... Hahaha me mkristo ila Quran naona na yenyewe ya kisomi sana...
  17. M

    Vita vya Gaza: Uthibitisho katika quran

    Suuratul Maida Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. Enyi mlio amini! Si halali kwenu kuwachukua Mayahudi na...
  18. Hivi Mungu wenu bado yupo au amekufa? Au zile zilikuwa hadithi tu za vitabuni?

    Ujue siwaelewi. Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake. Angalia wafuasi wake pale Palestine wapo tayari kwa nguvu zao kulinda ule msikiti usitwaliwe na waisrael...
  19. G

    Israel ni taifa teule na hata Quran imekiri hivyo, baadhi ya upendeleo kwa macho yetu tunauona

    QURAN Allah alichagua manabii wengi (sio wote) wayahudi akiwemo Musa, licha ya wayahudi kuwaua mara kadhaa, Allah aliendelea kuchagua wayahudi, upendeleo huu sio bure una sababu zake. Allah aliwaokoa utumwani wakiwa misri, Farao alikuwa na kiburi lakini Allah alimpa mitihani migumu mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…