kwa sasa online radio inasikizwa zaidi kuliko vituo vya fm,hii inatoa fursa kubwa hasa kwa vijana kufikia maono yao ya kumiliki media.
kwaanza kabsa unafichua mitazamo ambayo radio kubwa azifuatilii au awatoi kipaumbele mfano nyimbo, makala na habari kwa undani
pili ni kutangaza utamaduni wako...
Nimesikiliza radio One leo, (huwa sisikulizi radio) Sasa jamaa wao ni makelele ya MCHEZO SUPA na kupiga simu Kwa wasikilizaji. Yani jamaa anaongea hajamaliza mwingine anaongea na mwingine anaongea. Kwamba wanabishana. Sasa imefuka saa 10 jamaa kaweka UFM YA AZAM TV. Kwanza mchambuzi mkuu ni...
Kama kichwa kinavyo jieleza, nimepata nafasi Kuskiza matangazo ya Radio DW Leo mchana,
Katika matangazo hayo ya Dunia Kuna majukwaa na Mijadala mbalimbali, sasa jukwaa Moja wapo ni meza huru, ambapo Mtangazajo Suddy Mnette, aliweza kumhoji kinagaubaga Baba Askofu kuhusiana na Hali ya siasa...
https://youtu.be/UTLrEFErVaw
Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi waves).
Hii ni gari ya kwanza duniani kuwa pawa na mawimbi ya radio peke yake.
Maxwell amedai...
Radio One Sterio mnapotusomea habari za rais wa Zanzibar haziwezi kuwa ni habari za kitaifa, hizo ni habari za taifa la Zanzibar lenye serikali yake na katiba yake.
Siku hizi kumezuka mtindo wa kuifanya serikali ya Zanzibar kuwa ni ya muungano! Na huu mtindo unafanywa na viongozi wa serikali ya...
Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA.
Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
Jana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita.
Alikuwa anaongea maneno ya kweli na adimu sana kuyasikia kwenye media zetu. Muda mfupi nilitoka nje ya gari kidogo, kurudi...
Habari wadau .
Kwa mwenye mali tajwa hapo juu naomba tuwasiliane. Iwe inafanya kazi au haifanyi bado Nina uhitaji nayo.
Pia radio calls za kwenye magari nazo pia nahitaji pamoja na antena zake.
Kama unazo karibu.
Wakuu habari.
Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa.
Anasema kama unashida na Hela, cheo yeye anaweza kukusaidia.
Najiuliza hapa nikienda kwa huyo mganga na nisifanikiwe...
Hawa jamaa mapengo yao hayajazibwa mpaka Leo
Fedwaa
Mohammed Baraghaza
Rebecca Mulesi
Fedwaa alitisha Sana - katika kuandaa sindano tano za moto
Mohammed Baraghaza alitisha katika , jee huu ni uungwana la hasha huu si uungwana .
Rebecca Mulesi -katika ushauri wako.
Habari wana jf
Leo ngoja tupeane updates ya masuala ya radio mi ni mwazilishi wa Tzgospel Radio inasika online na kwenye cable milan cable arusha.
Jambo la kushangaza miaka ya hivi karibuni usikilizaji wa online radio umekua maarufu sana,wakati wa covid kulikua kuna idadi kubwa zaidi ya...
Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa.
Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon.
Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla
Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu...
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Kama mkiweza kuweka na picha ya Watangazaji mnaowajua itapendeza zaidi. Picha na jina la Mtangazaji.
Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic na National panasonic au maarufu kwa jina la dudu proof
Orodha ya Majina haya hapa:
Abdallah Iddrissa...
Mahojiano ya Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Othman Yakubu na Radio UFM kuhusu biashara baina ya Comoro na Tanzania na Ziara ya Shirika la Uzalishaji mali la Jeshi la Kujenga Taifa - SUMA JKT.
Pia, soma: Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama...
Wapo Radio baadhi yetu hupenda kusikiliza vipindi vya Matukio na Magazeti, ila tukakwazika kwenye kipindi cha magazeti ambapo msomaji anakiteka na kuacha kusoma magazeti na kuanza porojo zake binafsi!
Hii ni kero kwa wasikilizaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.