Hizi ni kauli za manguli wa uchambuzi wa taifa hili, kwamba pale Yanga tayari vijana wa umri mdogo walishajipata, na wanaendesha idara kwa weledi wa dunia ya mbele. Idara imejaa Generation Z ambao wamefanikiwa kuondoa kizazi cha wasema hovyo katika mpira, na usemaji sasa ni proffession kamili...
Wadau hamjamboni nyote?
Soma maneno ya msanii mkongwe nchini Ferooz
"Tulianza show kwa kulipwa Tsh.30,000 na kiingilio ilikuwa ni buku jero mpaka buku getini" - Feroozz mkongwe Bongofleva akiongea EA Radio
Kuna jamaa moja anaitwa felix alton huwa anacheza mziki mzuri wa country n soul siku za jumapili ila natafuta simpati
Ni muda sikwepo
Nimetune redio zote sijapata
Atakuwa redio gani huyu mwamba kwasababu anajua sana mziki mzuri na masimulizi ya hapa na pale
Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia.
Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
Ukizungumzia miongoni mwa vyombo vya Habari ambavyo vina uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu naamini RFA kutoka Sahara Media itakuwa namba 1 kabisa. Radio hii imewahi kuwa na Watangazaji bora kuwahi kutokea na waliokuja kubadili kabisa sekta ya Utangazaji nchini.
Lakini Radio Free Afrika...
Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana machachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube.
Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
Habari wakuu!!
Kwa wale wenye uhitaji wa kutengeneza website kwa ajili biashara pamoja na online radio karibu sana , tunatengeneza kwa ubora kabisa unaotaka!!
Huu ni mfano wa website pamoja na online radio yake ambayo tunakutengenezea lakini pia tunalink na radio kubwa kwa ajili ya matangazo...
Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni Diamond pekee ndie aliweza kuvunja hii cycle, alivyomdindia Ruge watu wengi tulijua ndio mwisho wake...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi.
Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo.
‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Andrew Kisaka, amesema Mamlaka hiyo itawachukulia hatua baadhi ya Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongezea baadhi ya vitu visivyotakiwa wakati wa usomaji.
Chanzo: millardayo
GENTAMYCINE nawapongeza...
Habari zenu wakuu , kama Kuna fundi anaeweza kurekebisha hii redio anitafute pm, mm nipo Dar so na yeye awe Dar
Shida yake ni ukiiwasha inawaka izi taa za pembeni pekee
Kuna wakati mwingine radio yako inajifunga baada ya kubadilisha betri ya gari lako.
Ukipata tatizo hilo usisite kutupigia kwa namba hii 0687746471 tutakufungulia radio yako.
Karibuni.
Ni sisi
CarRadio Unlock Solutions.
Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo.
Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu.
Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!?
Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya...
Kama kichwa kinavyojieleza na ni wakati wake, NI KWELI LAKINI HAYAKUHUSU. Hayo ndiyo maneno ya khanga ya leo Radio One Stereo.
Ni kweli hakuonekana ofisini kwa muda mrefu lakini inakuhusu nini? Wenyewe wamekasirika kwa sababu wanajua hawakuhusu.
NAWE TAFUTA KHANGA UWAJIBU.
Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
Kwa kuwa kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwamba CHADEMA imekuwa ikihujumiwa na media nyakati zote hasa katika mikutano ya hadhara. Kwamba mikutano huwa haionyeshwi kwasababu ya maelekezo kutoka juu.
Mimi nawakumbusha tu kwa vile najua hata nyinyi mwalijua hili kwamba kuwa na channel yenu ya...
Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club.
Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.