Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity Xavier ametoa SIRI ya Kisaikolojia ya Usaliti wa Mwanamke.
"Mwanamke yoyote Akimsaliti ana Mpenzi...
Tuwapongeze upendo Radio kwa kusimamia maadili ya Vyombo vya habari
Radio nyingine zote sasa zimekuwa ni Kamari,Kamari hata ile ya taifa ni kuhamasiha Kamari tu, matangazo ya waganga wa Kienyeji, Manambii ambao mienendo na matendo yao yanatiliwa shaka, shuhuda za Uongo kuna Radio moja kila...
1. Kupenda kutamka kila mara ( kuwaita Watu ) Wajinga.
2. Kupenda kutumia Maneno ya Kiarabu / Kiislamu Redioni kwani hasikilizwi na Waislamu wenzake pekee.
3. Aache Dharau
4. Aache Ujivuni
5. Aache kudhani kila ambaye bado hajafanikiwa Kimaisha kajitakia au ni Mjinga.
6. Apunguze Sifa zake...
"Wengine wameondoka na basi jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili sisi wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia pamoja kisha nitakwea tena Pipa na Kurejea zangu Dar es Salaam" alisema Mtangazaji Maulid Kitenge leo...
Yaani ili kupata namba ya ushindi huwa wanatumia mechanism gani ku’roll the dice’?
Yaani mtu anaibuka tu anakwambia tunamoigia mshindi, from nowhere! Akimpigia mtoto wa mjomba wake je? Hakuna transparency kama ya sports betting, ambapo goli likifungwa kila mtu analiona na hakuna ujanja ujanja...
Haiwezekani Watangazaji wako hawa Maulid Kitenge na Twalib Muwa ambao si tu ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama wa Yanga SC kila wakiwa pamoja Hewani katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM Kazi yao ni Kuisakama Simba SC, Kuinanga, Kuidhalilisha na Kuichokonoa ili mradi tu...
Mgogoro baina ya wafanyakazi na uongozi wa Kampuni ya Sahara Media Group Limited hauoneshi dalili za kuisha hivi karibuni baada ya taarifa kuibuka kwamba kampuni hiyo imewasimamisha kazi wafanyakazi kwa madai kwamba hakutakuwa na uzalishaji wa vipindi kupisha maboresho ya kiufundi.
Hata hivyo...
Kiukweli Kama Ni mtu ambae unajitambua vizuri utakuwa umeshuhudia Mambo yasiyo na shaha au kusikiliza Mambo yasiyo na staha na ukashindwa kuelewa hv Kuna weledi umetumika vizuri kuanzia chombo husika mpaka wanaowasimamia.
Usiku kwa nimejikuta nikisikiliza radio East Africa radio aisee sikujua...
Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa...
MOHAMED SAID RADIO ONE KIPINDI CHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 KESHO 12 JANUARY ASUBUHI SAA MBILI
Kichwa cha.habari kinajieleza.
In Shaa Allah...
Nasikia, ‘’Hodi, hodi, hodi.’’
Nafungua nawaona watu wa stesheni moja maarufu sana wako mlangoni pangu wananiambia wamekuja kunihoji kuhusu Mapinduzi...
Tafadhali Mzee wangu na Mmiliki wa Sibuka Media Dk. Nangale na Mkeo Doreen Nyange ( Boss Mwandamizi Sibuka Media ) mmekumbwa na nini Siku hizi hadi mnaajiri Watangazi wa hovyo hovyo na wanaotia Kichefuchefu kuwasikiliza kama huyu wa leo?
Nawaombeni hebu rejeeni Kukagua Academic Credentials za...
RFA Kuna clip ya hotuba za maraisi wote wa Tanzania, waliotangulia na aliyepo lakini hotuba ya Mkapa hakuna. Je mnachukizwa na nini hadi kumchukia hivyo?
Nimepanda gari la jamaa yangu ameweka Radio zao hizi. Hawa jamaa wanakera matangazo yao yote ni Shule Shule Shule.
Inakera. Mara watu wa QT mara watu wa Ku "reseat" inakera Mara sijui Chuo gani, mara shule. Jamani mnabore sana. Matangazo hayana mvuto kabisa. Tafuteni na Matangazo mengine...
Kuna watangazaji wanavutia kuwasikiliza au kuwatazama pindi wanapokuwa wanatoa taarifa au kuongelea jambo fulani.
Kwa upande wangu hawa nawakubali sana, Kuvichaka #Jabilsaleh wa EFM na TV E na Ezden.
Jamaa hawa ni noma, japo Ezden kwasasa sijui yupo wapi.
Tupe wengine.
Tokea uipate Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini (kama sijakosea) mwaka Jana umekuwa ni Mnoko Mnoko na mpenda Kujipendekeza (Kujikomba) kwa Mamlaka (Serikali) hasa pale Wachangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja wakiwa Wanaikosoa.
Kinachonishangaza hasa Mimi...
Maswali ya kujiuliza
-Mtangazaji yuleyule mmoja siku zote ila wachambuzi tofauti ...Je hao wachambuzi nao wamesafiri hadi Qatar?
-Mechi zinachezwa kwenye viwanja na miji tofauti tofauti....inawezekanaje mtangazaji huyohuyo kutangaza mechi zote kwa siku
-Wachambuzi kuchambua matukio kama penati...
Nasikitika kusema kuwa hizi radio zina magenge ya hao eti wanaitwa watangazaji , lakini kinachochoendelea huko ni kichefuchefu tupu.
Asubuhi tu wakishaamka na kufika kwenye hayo magenge yao , utaskia 'Aloo vipi wewe ? umeoga kweli wewe ? Leo umelala wapi ? mbona unaonekana umechooooka sana ? au...
Ndugu waamini wa dini mbalimbalini nawasalimu kwa jina la bwana muumba wetu.
Siku ya Ijumaa ni siku ya ibada na mara nyingi inakuwa kama ni siku nusu ya kazi kutokana na waamini wengi wa dini ya Kiislam kwenda kusali.
Sasa hata kwenye redio zetu ambazo ni nyingi sana kwa sasa hapa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.