Nina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia.
Tunafanya kazi yenye kipato cha kati, mimi nimeridhika na hali yangu kiuchumi kwa kweli. Na ninajitosheleza...