Nina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia.
Tunafanya kazi yenye kipato cha kati, mimi nimeridhika na hali yangu kiuchumi kwa kweli. Na ninajitosheleza kujihudumia, Ku save na kufanya mengine kama kujitoa out.
Sasa amekua akiniomba hela Mara nyingi sana. Yani mshahara tu ukitoka ananikaba. Na nikisema sina anasema ‘unapeleka wapi mshahara wako wakati huna mtoto wala mtu yoyote anayekutegemea’ ? Ananichukulia kama mchoyo kwake.
Jamani nisaidieni wana Jf maana sasa rafiki yangu anakua kero.