Rafiki yangu tunalipwa mshahara sawa lakini ananilazimisha nimkopeshe hela kisa mimi sina majukumu

Rafiki yangu tunalipwa mshahara sawa lakini ananilazimisha nimkopeshe hela kisa mimi sina majukumu

Mpe tu, utafanyaje sasa na keshakuambia huna majukumu yeye ndo anayo na una wajibu wa kutatua?

Siku ukiwa na mke mwajiriwa, ana mshahara ila ukawa unamhudumia kwa kila kitu halafu ukimwambia akuazime kiasi kidogo cha fedha anasema hana utagundua rafiki yako alikuwa anakutukana kwa kukuuliza kwani mshahara unapeleka wapi maana ndo swali utakalomuuliza mkeo.
 
...... mimi sina mtoto wala ndoa pia....... JF wapo wanaotafta wenza jiandae

Nawe lalamika una madeni siku tano kabla ya mshahara kutoka ....... ukilenga kuendelea kuhifadhi fedha kwa maendeleo yako. Pia mnapokuwa pamoja usipende sana jadili malengo na mikakati yako ... jadili vya umbea umbeaa wa hapa na pale
 
Mna umri gani wewe na rafiki yako? Mwambie aache ujinga na akuheshimu.
 
Back
Top Bottom