rafiki yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umewahi kusalitiwa na rafiki yako?

    Watu wengi wamekuwa na marafiki wanaowaeleza Siri mbalimbali. Siri hizo huweza kuwa za kimahusiano, kikazi na Mambo kama hayo. Je uliwahi mueleza mtu Siri yako na ukaikuta kwa mtu mwingine kama ilivyo. Ulichukua hatua gani?
  2. Raila Odinga wahenga waliposema kuwa Kikulacho ki Nguoni mwako na Adui yako ni Rafiki yako wala hawakukosea

    Cornelius K. Ronoh @itskipronoh It’s confirmed: President Mama Samia Suluhu Hassan and Paul Kagame voted for Mahmoud Ali Youssouf. Interests come first, not neighborhood or friendship. GENTAMYCINE siongezi kitu wala sipunguzi kitu ila Raila Odinga Yeye ajue tu kuwa Waafrika UNAFIKI ni TUNU...
  3. Ukipoteza Kumbukumbu zako zote ungependa nani akusimulie historia ya maisha Yako? Rafiki Yako mnayelewa pamoja? Mke/Ex Wako? Mtoto wako?

    Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu wakifurahia biriani na bia, wakicheka kwa sauti nyororo zinazopotelea gizani. Katika mtiririko huu wa...
  4. R

    Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  5. Angalau 3/10 ya rafiki wa rafikiyo wasipokua rafiki zako, rafikiyo si rafiki yako

    Kimsingi ili watu wawe marafiki ni lazima wawe na vitu mfanano vya kuongelea, kwa maana kama hamna vitu mfanano vya kuongelea ni ngumu kutengeneza ile bond kati yenu kwa maana baada ya Salam mnakua mnaangaliana tu na badala yake kila mmoja anatoa simu yake anaanza kuperuzi peruri ili wakati...
  6. Ukishabikia Simba na Yanga lazima kichwani ziwe zimepungua na umasikini lazima uwe rafiki yako

    Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa. Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa alijirusha barabarani akakanyagwa na gari ubongo nje alaacha familia na watoto watatu wakiteseka...
  7. G

    Wazazi hugundua marafiki wa uongo, Watoto hugundua ndugu wanafki, Marafiki hugundua mpenzi asiekufaa,

    Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
  8. G

    Wazazi wana uwezo mkubwa kutambua rafiki feki, Rafiki yako ni rahisi kugundua mpenzi asiekufaa, Watoto wana kipawa cha kumjua ndugu mnafki

    Huwezi kuwajua watu wako wa karibu lakini kuna watu wa karibu wana uwezo mkubwa kuwasoma watu wako wengine wa karibu, Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki Marafiki zako wana jicho makini kuweza kujua mpenzi...
  9. G

    Upo tayari kuvumilia mateso kiasi gani usimwambie rafiki yako msaliti sehemu ulipoficha shilingi bilioni 2

    Ni vitu vinavyotokea kwenye maisha ya kweli, sio kwenye muvi tu, bilioni 2 ni lugha ya kimafumbo ya kiasi kikubwa cha fedha kwako kinachoweza kubadili maisha yako. Hio ni siri yako ambayo rafiki yako anaijua kwa juu juu hajui ulipozificha pesa. Ghafla rafiki anaingiwa tamaa ya usaliti anataka...
  10. I

    Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

    Mwenzenu Mangi nimepigwa na kitu kizito. Yaani siamini. Nimekuwa na kiherehere cha kuwatetea wanawake kwenye karibu kila nyuzi zinazomponda mwanamke lakini hivi karibuni nimepigwa tukio hadi fikra zangu zimeyumba. Naomba wanawake mtanijibu maswali hapo chini lakini wanaume wenzangu mnisaidie...
  11. Adui wa adui yako ni rafiki yako

    Urafiki wenu umekutanishwa kutokana na adui wenu kuwa mmoja, Vijana kuweni makini sana
  12. T

    Umewahi kula/kuliwa mtu wa rafiki yako wa karibu sana, tupe uzoefu

    Ni kisa cha kweli alinisimulia mtu mmoja tulikutana kwenye basi natoka Dar kwenda Moro. Akasema kaka yake alikuwa na rafiki waliyependana sana lakini kwa bahati mbaya kumbe yule rafiki alikuwa akila mke wake. Siku ya siku ikafika yule bwana akawafumania baada ya lile fumanizi maisha ya yule...
  13. Muamulie ugomvi rafiki yako pale anapokuwa amekandamizwa pekee

    Unakuta mtu mmeshazikunja na mtu anytime kina happen halafu anakuja mtu Kwa nyuma anakuvuta vuta mikono je ukipigwa ngumu ya ghafla na adui. Rafiki mzuri akikuona mnazipanga anatulia kwanza Mpaka uzidiwe Kwa kukandamizwa labda chini ndo aje kuamulia. Sio mtu anakuja nyuma anakubana mikono ooh...
  14. V

    Muda sio rafiki yako na hauhitaji mbwembwe

    Wakati nasoma sekondari pale Iyunga tech, Mbeya kuna mambo mengi niliyashuhudia ila leo nimekumbuka moja. Kama mnavyojua Mbeya ni baridi la kwenda hivyo kuoga ni mtiti. Kwa hiyo kuoga masela ilikuwa Kwa nadra kishenzi yaani ukiona mwanafunzi mwenzako anaoga unashangaa. Ila yote tupa kule Kuna...
  15. Mwamba anayeruka na mkeo hatoki mbali; ni huyo huyo rafiki yako unayemwita wa kufa na kuzikana

    Wote mpo hapo wizara ya fedha, kidogo wewe una kacheo hivyo huwa unasafi mara kwa mara kwenda mikoa mbalimbali, kutoa elimu ya masuala ya fedha. Kumbuka mkeo ni mtoto wa kinyaturu mweupeee kapanda hewani, rafiki yako mtozee ajalia vitamu kirahisi huku shemu wakati ananyanduliwa anakutukana...
  16. Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

    Kuna nyakati unaweza kupitia katika biashara yako ambapo unaona unaelekea kuanguka vibaya sana na bado unafamilia na bills nyingine. Inaweza kuwa sio usimamizi mmbaya ila labda ni factors za hali ya kiuchumi na factors nyingine ambazo hata wewe haulewi mambo yamekuharubikiaje. Inapelekea sasa...
  17. Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Too much of something is harmful. Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa. Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia...
  18. Tuwakumbuke kwa nyimbo

    Msurprise mtu yeyote kwa jina lake na nyimbo ( dedication ) ajue hisia zako kwake. Anaweza kua mtoto wako, mpenzi wako, adui yako, crush wako na zaidi… Mtaje kwa tag, jina moja au mawili, sehemu alipo, hata kama hayupo JF, huenda akaja kupata ujumbe wake Kutoka kwako. Warning!! zingatia...
  19. Mke wa rafiki yangu ananitaka, nifanyeje?

    Naombeni msaada wa mawazo mke wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, nifanyeje?
  20. Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman… Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo. Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…