rafiki yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAKIIF Islamic

    Ukimuomba pesa rafiki yako anakusaidia kwa haraka, lakini kila akikuomba kwako huna kitu.

    Na mwingine anasaidia sana rafiki zake na jamaa zake wanapopata anguko la uchumi, lakini likija upande wake hawamsaidii, akikwama anakwama kwelikweli. Katika uislamu tumefundishwa kwamba mkopeshaji ''mwenye kukopesha'' anathawabu nyingi kulikoni mwenye kutoa sadaka. Yaani wewe kama 'Umemkopesha...
  2. R-K-O

    Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

    Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu. Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta...
  3. M

    SoC03 Ukweli usemwe! Kijana usipojifunza kutafuta pesa umasikini ni rafiki yako

    Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
  4. Unique Flower

    Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

    Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ?? 😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
  5. THE FIRST BORN

    Ulishawahi kupendwa kimapenzi na mpenzi wa rafiki yako wa damudamu?

    Habari wana jukwaa. Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu. Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu? Kama ilishatokea ulifanya vipi...
  6. J

    SoC02 Hii ni sauti ya dada yako, rafiki yako naitwa Judith Kaunda, karibu unisikilize

    Wakati wa balehe kuna changamoto nyingi sana, binafsi nimekumbana na mengi. Mengine yakinisibu moja kwa moja, mengine nikijionea kwa macho, kati ya mengi niliyoona kwa macho, lilinitisha lile la mapenzi ya jinsia moja. Kama uliipita vyema balehe yako, basi na tumshukuru Mungu. Balehe nd’o ujana...
  7. Zero Conscious

    Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana. Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina...
  8. Protector

    Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  9. M

    Nini kilitokea baada ya kumtongoza mke au demu wa rafiki yako akakukatalia?

    Hii kitu sitaisahau baada yakumtongoza demu wa rafiki yangu halafu akachomoa Dah! Nilihisi kuvurugwa baada ya kuangalia urafiki wangu na jamaa ulivyo niliishi maisha ya hofu kwa wiki nzima hofu ikaanza kuisha mdogo mdogo baada ya demu kujiongeza na kukaa kimya
  10. Dola Iddy Wa Chelsea

    Kama ni wewe utaamua nini kwa huyu rafiki yako?

    Mambo vipi wana MMU, baada ya mishe mishe za kutwa nzima tufurahi na kucheka wote tuongeze siku za kuishi, Imagine upo town kwenye harakati zako ndani ya gari yako IST unaelekea kwako mara paap unakutana na rafiki yako anakuomba lift umsogeze aendako, Mkiwa njiani mnakutana na gari aina ya...
  11. my name is my name

    Hivi mtu unaanzaje kumchukulia rafiki yako mchumba wake?

    Hivi huwa mnaanzaje? Hata hamuwaonei huruma rafiki zenu? Waachie watu wa mbali wamchukulie mchumba wake lakini sio wewe unaemfahamu vizuri tu rafiki yako. Unawajua vizuri na umeshuhudia mapenzi yao mara nyingi tu halafu leo bila aibu unaenda kuwatenganisha kwa kitu ambacho hata hujui kama...
  12. GEMBESON

    Je, ni sahihi kumgeuza X wako kuwa rafiki yako kindakindaki?

    Utafiti uliofanywa na Oakland University unaeleza kwamba Watu wanaowageuza Wapenzi walioachana nao (Ma- EX) kuwa Marafiki zao wa karibu mara nyingi huwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na matatizo ya afya akili. "Kuendelea kumkumbatia Ex na kumgeuza Rafiki yako wa karibu kunaweza kukufanya upate...
  13. NguoYaSikuKuu

    Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

    Kuna jamaa hapa kampata mtoto fulani hivi mkali sana. Pisi hii ipo kwenye moja ya Elite bank hapa nchini na anasukuma baby car fulani hiviii. LOL Sasa huyu jamaa akagundua hii pisi imedate na moja ya rafiki yake"EX' wa karibu sana, Wakati ndo anataka akamilishe zile taratibu za "kutukuka" na...
  14. nyboma

    Rafiki yako leo ndio adui yako mkubwa kesho linapokuja suala la maslahi

    Tuwe makini sana na hawa tunaowaita marafiki zetu wa faida, hawa hawa ndio hugeuka kuwa mwiba mkali katika maisha yetu hasa mkipishana kidogo kwenye masuala ya maslahi. Rafiki huyu huyu ndio anaweza kuwa sumu ya kukuondoa hata uhai kisa maslahi, mwisho kabisa tusiwaamini sana hawa tunaowaita...
  15. S

    Umeshawahi kumla kimasihara mwanamke wa rafiki yako

    1Kuna siku nilikwenda club na washkaji zangu nikakutana na ex wa brother wangu. Nikamsalimia akaniomba nimnunulie bia nikamletea huyo nikaondoka nikajichanganya zangu bado kama nusu Saa club kufungwa yule ex wa bro alikuja kucheza na mimi hapa nami nikiwa nimelewa. Club ikafungwa nikatoka nae...
Back
Top Bottom