Wakati wa balehe kuna changamoto nyingi sana, binafsi nimekumbana na mengi. Mengine yakinisibu moja kwa moja, mengine nikijionea kwa macho, kati ya mengi niliyoona kwa macho, lilinitisha lile la mapenzi ya jinsia moja.
Kama uliipita vyema balehe yako, basi na tumshukuru Mungu. Balehe nd’o ujana...