Rafiki na ndugu yangu mpendwa,
Nilikuja nyumbani kwenu kama tulivyohaidiana ili nipate kukuaga lakini kwa bahati mbaya nimekukosa, nilikuja kukuaga kwa kuwa hutaniona tena kwani nasafiri safari ya mbali sana. Baada ya kusubiri sana nimeamua kurejea nyumbani na ili kufanikisha safari...