Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na uwezo wa kufanya kazi popote – hata ukiwa nyumbani na kikombe cha chai! Lakini swali ni hili: Hela...
Habari wanajamiii forum, !
Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana
kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi,
Ila utawakuta wenye uwafadhali...
Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
Zamani nilidhani mambo yako simple kumbe ni magumu sana, sikujua uhalisia
1. Kufika South Africa
Zamani tuliamini South Africa ni hapo tu bondeni,
Yaani life likibana hapa Kwa Nyerere ni chap bondeni,
Tulipachukulia ni karibu kiumbali na ni rahisi kufika.
Hadi Leo South Africa naiona kwenye...
Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ
1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk. Malipo yao ni kufuru sana ila uwe tayari kula na wenye mamlaka
2. Kua na mamlaka serikalini, unaweza...
Salaam sana
" Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani zawadi kwa wanaume, wanao tafuta hela zao wenyewe"
Ndugu zangu kama tujuavyo tokea enzi na enzi...
Ki ukweli, kama ipo Nchi Duniani inapambana na hali yake kwa kiwango kisichoelezeka, ni Israel.
Kuanzia Kusini, Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, Israel kila uchwao anapambania uhai wa Taifa lao pasi na kujali wanasaidiwa na nani.
Honestly wa Israel ndiyo binadamu wasio na hakika ya...
Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.
Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo.
Karibuni kwa mjadala
Salaam, Shalom!!
Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi,
1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha wateuliwe wengine watakaokuja na Mpango mkakati wa kushughulikia mauaji ya raia na utekaji.
2...
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?
Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani.
Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri.
Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
Kwa kawaida hawa watekaji na wauaji wanapofanya uharamia kama waliomfanyia Ali Kibao RIP, huwa wana watu wao ambao huwa wamewapanga barabara zote watakazopita ili wasipate kizuizi mahali popote wakiwa na mateka. Hata wasipokuwa na mateka, wakishafanya tu uharamia, huwa hawataki wasimamishwe...
Vitu vya ndani vinauzwa kwa bei nafuu;
Hisense smart TV, inch 43 ina box lake - 350,000/=
Friji ndogo - 100,000/=
Feni kubwa - 30,000/=
Viti vya plastic (3) - 15000/=
Meza ya kioo ndogo - 50,000/=
Kochi la watu wawili - 80,000/=
Meza ya kuwekea jiko, mtungi mkubwa oryx na jiko la plate2...
Kila mtu anataka kuwa katika upendo, lakini si kila mtu yuko tayari kujitolea kweli.
Hapa kuna njia rahisi za kujaribu ikiwa ni upendo wa kweli:
Mtihani wa Ukweli: Mapenzi ya kweli ni ya uaminifu. Ikiwa unaficha mambo kutoka kwa mpenzi wako, inaonyesha kuwa huna upendo wa dhati. Kuwa...
Habari ndugu zangu, kama kicha cha habari kinavyo sema hapo juu, nina ugeni wa mtu wangu ambaye atakaa kama siku 14 (week mbili), sasa nilitaka kupata aprtiment nzuri yenye kila kitu ndani WIFI ISIKOSEKANE (kuanzia maeneo ya kiluvya, kibamba, mbezi, goba, kimara, tabata, ubungo , sinza, mlimani...
Hii ni kwa ajili ya TV na device zinazotumia Android/GoogleTV tu hii haisupport app ya Azam bila shida nyingi za sideloading. Mfano ni Chromecast, Mi TV stick/box, baadhi ya TV za Sony, Hisense, TCL, Nvidia Shield etc.
Hii haihusu TV za Samsung (Tizen), AppleTV, LG (WebOS), VIDAA OS, na TV Box...
Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe.
Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe.
Examples of Questions;
Unamwanaume, Yes or no
If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic?
if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am...
Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra.
Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.