Ibaki kuwa hivyo. Previous nilikuwa natongoza mabinti wabovu wabovu nikiamini kuwa wataona ni bahati kutongozwa, hivyo nitawapata kirahisi sana na hata mbususu nitakuwa napewa kwa kubembelezwa.
Hali haikuwa kama nilivyodhani, badala yake nilipigwa vibuti vikali sana. Kati ya wanawake 10...
Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache sana kwasababu kwa muktadha wa Afrika; cheo ni ulaji, cheo ni mamlaka, cheo ni biashara, cheo ni fimbo Kwa washindani, cheo ni "connection" ya mambo mbalimbali.
Nashangaa kuona mnajiuzulu pamoja na...
Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.
Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.
Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi...
Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko nchi zao.
Ila ni jambo gumu kupita maelezo kuwa ambia na kuwaaminisha wachina upuuzi huu kuwa kuna...
Wakuu,
Kwa utafiti niliofanya kidogo tu ni kwamba ukitaka kutoka kimaisha kwa njia rahisi na nyepesi nikuanzisha chama cha siasa au kanisa la kuondoa mapepo.
Imekuwa ni rahisi sana kukusanya michango kwenye makongamano ya kiroho (fukuza pepo) au makangamano ya kisiasa kama wenzetu wa...
Katika zama za mawasiliano ya kidijitali, majukwaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Tunashiriki matukio yetu, kutambulisha hisia zetu, na kuungana na ulimwengu.
Lazima pia tukubaliane na hatari zilizopo. Hivi karibuni, Microsoft iligundua uwezekano kwenye programu...
Wadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema haikuwa kazi rahisi kwa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kushinda zabuni ya kuandaa Fainali za Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027).
Dkt. Ndumbaro amesema hayo Septemba 29, 2023 jijini Dar es Salaam...
Wataalamu wa mazingira kutoka Nchi 10 za Afrika na wenzao kutoka mataifa ya Ulaya wamekutana Jijini Arusha kujadili namna bora ya uwajibikaji kwenye matumizi ya fedha zinazotolewa na Wahisani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya utunzaji mazingira ikiwemo mabadiliko ya Tabianchi.
Mkutano huo...
Mambo vipi bloggers
Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili.
Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo competition ni ndogo
Swali ni je mnapataje mpunga kupitia hizi blog za kiswahili
Kwa kuzingatia kichwa cha uzi.
- Kama kweli serikali ya Tanzania ina nia ya kutoa elimu ya katiba na kufanya Watanzania karibia wote wa nchi hii kuijua katiba yao vizuri.
Serikali haina budi kuchukua uamuzi mara moja wa kutoa elimu ya katiba kuanzia ngazi mbalimbali za elimu yetu kwa kuanza...
Wakati uchaguzi wa Marekani unakaribia kumekuwepo na habari nyingi kuhusiana na mazungumzo ya kurudisha uhusiano baina ya Saudi Arabia na taifa la Israel.
Uhusiano huo umeshindikana kwa miaka yote hiyo tangu kuundwa kwa taifa la Israel mnamo mwaka 1948.Hii imetokana na tawala zote za Saudi...
Ninaandika huu uzi bila kuweka itikadi yangu ya kisiasa huku nikiwa na huzuni. Siku chache tumetaarifiwa kupitia wizara ya katiba na sheria kuwa 51% ya watanzania hawajui chochote kuhusu katiba ya sasa. Kwa hesabu za haraka ni kuwa karibu kila familia nusu ya wanafamilia hawajui katiba ya JMT...
Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara.
Huwa naumia sana nikiona kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni.
Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina...
Duniani kuna dini nyingi ila wakristu na waislamu ndio dini mbili pekee juu ya uso wa dunia ambazo kila moja inajiona ndio dini/imani/ bora, sahihi na yenye haki mbele za Mungu kuliko zote duniani.
Waumini wa dini hizi wana share sifa moja inayofanana nayo ni selfishness. Kwa maana ya...
Salaam!
Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya.
Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively.....
Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na mipaka.
Hususani sie wanaume, kwa sababu wakuu vipo vingi venye urembo na urembo ni addiction huvuta...
Baada ya ahadi ya nyongeza ya mshahara kupitia vyombo vyote vya habari nchini Kuna mengi yanasemwa na ikizingatiwa kuwa hakuna chanzo sahihi cha taarifa.
Inapofikia michakato inatendeka kimyakimya na wengi wao wakitarajia jipya kwenye pay tarehe ya pay July 2023 kunasababisha hasira na kinyongo...
"Bado nchi yetu ndio ina bei rahisi ya Data kwa GB kuliko nchi yoyote ya East Africa...SADC, kwa kuwa na gharama ya GB 0.71 kwa Dola ambayo ni sawasawa na shilingi 1600/=". Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania - Dkt.Jabiri Kuwe Bakari
#ITVUpdates
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.