Pongezi ziwafikie raia mwema (jina kapuni) na Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Timu yake ya Usalama kwa ushirikiano wao jana 5 Oktoba, 2024 ambapo, Saa 9.56 jioni nilipokea ujumbe wa simu kutoka kwa raia mwema mzalendo (jina kapuni) kuwa kwenye gari la abiria (bus) linalojulikana kama Kisbo lenye namba...
Hali ya raia kuzuia polisi kukamata watu nchini Tanzania ni jambo linaloweza kuashiria mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala na usalama wa raia.
Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na matukio kadhaa ambapo wananchi wamejitokeza kuzuia polisi wasiwakamate watu, ikiwemo waandamanaji...
Ni uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi..
Jitahidi sana uwe Raia mwema siku zote, muungwana, mzalendo, mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi, na kutoa...
Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi.
Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam imeifuta Kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp iliyokuwa ikimkabili Mwandishi wa Habari za Afya na Uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo.
Uamuzi huo wa...
Mchakato wa kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili Mwandishi wa Habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo inatarajiwa kuendelea Novemba 29, 2023.
Usikilizaji wa mashahidi katika kesi hiyo...
Baada ya Rostam kulinunua Raia Mwema na kumkabidhi SAID Kubenea limekosa mvuto. Rostam anapenda sana kununua magazeti critical.
Gazeti limekosa mvuto; kila siku kuwashambulia CHADEMA na Magufuli; Tunajua kubenea anachuki na chadema baada ya kukimbilia ACT Wazalendo.
Kuanzia hatua za awali katika ukuaji, Watoto wanapaswa kufundishwa Haki, Wajibu na Hatari zinazoweza kutokea wasipotumia vizuri Majukwaa ya Kimtandao.
Huwajengea hali ya Uwajibikaji na Tabia Njema zinazowafanya kuwa Raia wema wawapo Mtandaoni.
Kama Mzazi/Mlezi, umechukua hatua zipi katika...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu, siku za karibuni ni kama limejiunga na machawa. Kila wiki lazima ziwepo habari za kusifia rais na Serikali yake kama vile wameshuka kutoka mbinguni. Hata mkongwe Generali ameangukia humo.
Je, na utamu wa asali au kwa vile rais ni "mwenzetu"?
Mashahidi 9 na vielelezo 10 vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili mwandishi wa habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo.
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala...
Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo.
Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya...
Historia huenda ikajirudia kwa Rais wa JMT kuchukua maamuzi aliyofanya Rais Mwinyi Mwaka 1990.
Baraza la Mawaziri linaweza kuvunjwa wakati wowote kuanzia sasa.
Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu.
Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania.
Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake
Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The...
Wakuu,
Gazeti la Raia Mwema lilikuwa ni mojawapo ya magazeti makini sana Kwa kuandika makala yakinifu zenye kujenga sana. Ajabu ni kuwa Siku za Karibuni Kwa hali isiyokuwa ya kawaida gazeti hili Kila siku ni ku report kuhusu migogoro ya dini na madhehebu fulani.
Hakuna dini wala dhehebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.