Spika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi na sababu zozote.
Gazeti la Raia mwema limeandika habari inayosema "Bunge lapitisha muswada wa...
Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi.
Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
Mara kadhaa gazeti la Raia Mwema limekuwa likiandika taarifa za kiushabiki na kiuhanaharakati badala ya kusimamia misingi na weledi wa uandishi wa habari.
Nimekuwa najiuliza kama gazeti hili lina mhariri au mhariri mwenyewe ndio mwanaharakati au haijui kazi yake vizuri.
Nitoe tu heko kwa...
Hebu someni wenyewe utetezi na adhabu ndio utajua kuwa watu walikuwa na adhabu tayari kabla ya utetezi.
Tanzania bana End justify means badala ya means kujustify end
Pia soma: Thread 'Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30' Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30
Gazeti la Raia Mwema sasa litaanza kutoa nakala za kila siku badala ya nakala moja kwa wiki ilizokiwa inatoa.
Hii ni habari njema kwa wapenda habari za ukweli na uhakikana habari mbaya kwa magazeti yaliyozoea kuimba mapambio.
Raia Mwema linasifika kwa kuchapisha habari nyeti za kifisadi...
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
Kwa muda mrefu Tangu kuanzishwa kwa Chama kipya cha Act. Gazeti la Raiamwema limekuwa likitoa Coverage kuubwa kwa viongozi waandamizi wa haka kachama ambako kanapingana na upinzani. Hususan Kitla Mkumbo, Zitto Kabwe na Samson Mwigamba.
Je ni nani hasa mmiliki na ana maslahi gani na ACT????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.